Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaanzaga hvhv mkijifanya mnashauri ama mnakereka kumbe mmetumwa kupima upepo.Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI.
Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Kwa vyovyote bike kwenye hayo mamikataba 36 ya huyo mama Nushati haiweei kukosekana. Hapa serikali wanaihujumu makusudi Ili wapate kisingizio Cha kumleta hadharani mwarabu waliempatia kuendesha mabwa you're ya umeme Tanganyika na kusimamia umeme nchini Neiman. Wanasubiri mpige kelele Kwanzaa kwamba TANeSCo hamna kituo hasa nyie agents na chawa wa huyo mama.Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI.
Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Tunajuana vizuri wabongo, akili walizo nazo ni kupiga badala ya kuchapa kazi na kuongeza ufanisi.
Ni bora tukawekeza ili tuwe na umeme wa uhakika, lau kama tutatendelea kuwa na watendaji waliopo kamwe hatutasonga.