Wawekezaji watafanya kipya kipi kwenye mgao wa umeme tuanzie hapo!Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI. Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
TANESCO ikibinafsishwa tujiandae kununua unit 1 kwa 1000Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI. Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Haina shida ngoja niongee na waarabu wa DubaiMada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI. Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Tatizo ni CCM. Narudia tatizo ni CCM. Anzisha mada ya kuindoa CCM. Hili la kubinafsisha kila kitu ni kama ile hali ya mtu mzembe anayeachiwa mali ya urithi. Anapoanza kuuza vitu unakuwa ndiyo utaratibu wake mapaka mali iishe.Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI. Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Atakuambia tulete muwekezaji mwenye mtaji wa MajiW
Wawekezaji watafanya kipya kipi kwenye mgao wa umeme tuanzie hapo!
Koma we!!Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI. Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI.
Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Katika mashirika yanayo lalamikiwa sana na wananchi ni pamoja na shirika la umeme Tanesco, kwa miongo kadhaa limekuwa likitoa huduma isiyo na uhakika kwa wananchi/wajasiriamali wadogo na viwandani.
Ili uchumi wa nchi yetu upae ni lazima sio tu kuwa na nishati ya uhakika lakini pia iwe nafuu na iwe ya uhakika na ili kufanikisha hilo ni muhimu sana uwekezaji ukafanyika, kama tutaendelea na watendaji wababqishaji basi tujue kuwa nchi yetu haiwezi kupiga hatua.
Umeme unakatikakatika, ukirudi hauna nguvu na hakuna mfanyakazi wa tanesco anayesumbuka.
TANESCO IMEOOZA .
Tunajuana vizuri wabongo, akili walizo nazo ni kupiga badala ya kuchapa kazi na kuongeza ufanisi.Hapana kabisa kabisa na hii haitatokea kamwe, haya simama tukuombee maana shetani anakutumia vibaya sana kimawazo na ukiendelea kimatendo soon utaanza kutumika, kwa mawazo haya utatukuja tuambia tubinafsishe bandari zote, polisi, jeshi pia, koma hapo ulipofikia
Huo ndio mchezo wanao ujua hao watendaji wa Tanesco, hivi tunavyo ongea katika maeneo ya Jiji la dsm ambapo ndipo kuna uzalishaji mkuwa umeme umekatika na unapo rudi hauna nguvu ya kusukuma mashine!!!Jana kuna sehemu ulikata saa 2 asubuhi ujarud saa 3 usiku