TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

Naunga mkono hoja,maana kwenye mawasiliano angekuwepo TTCL Peke yake Napo kungekuwa na kero za kutosha Ni Bora Shirika libinafsishwe ili kupata huduma bora,au kuruhusu Makampuni binafsi kuingia katika utoaji wa huduma ya umeme.
 
Mnaanzaga hvhv mkijifanya mnashauri ama mnakereka kumbe mmetumwa kupima upepo.
 
Kwa vyovyote bike kwenye hayo mamikataba 36 ya huyo mama Nushati haiweei kukosekana. Hapa serikali wanaihujumu makusudi Ili wapate kisingizio Cha kumleta hadharani mwarabu waliempatia kuendesha mabwa you're ya umeme Tanganyika na kusimamia umeme nchini Neiman. Wanasubiri mpige kelele Kwanzaa kwamba TANeSCo hamna kituo hasa nyie agents na chawa wa huyo mama.

Then waleta limkataba la mwarabu hadharani
 
Tunajuana vizuri wabongo, akili walizo nazo ni kupiga badala ya kuchapa kazi na kuongeza ufanisi.
Ni bora tukawekeza ili tuwe na umeme wa uhakika, lau kama tutatendelea kuwa na watendaji waliopo kamwe hatutasonga.


Uki privatize umeme ume privatize usalama wa nchi, hicho kitu hatari sana sawa na kunywa sumu utegemee kupona, umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…