TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama.

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.

USSR
 
Kazi kula urojo na kuruka sarakasi tu pale forodhani, wazenji tuondoleeni ujinga wenu lipeni umeme mliotumia maana kuisamehe deni Zenji si haki, Ili muungano ukae sawa na bara pia inabidi umeme uwe Bure!
 
Back
Top Bottom