Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakula uroja tuu.Nadhani hii ni mara ya pili kusikia hiki kitu, mara ya kwanza ilikuwa kipindi cha Kikwete au Magufuli walisamehewa tena deni. Hawa jamaa wana shida gani mbona hawataki kuwajibika?
Ndio faida ya kulazimsha Muungano hiyo, mtajua hamjui. Wazanzibari akili kubwa. Itoeweni Tanganyika yenu mlikoificha.Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.
USSR
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika, nyinyi ndio Tanzania ni wajibu wenu kuihudumia Zanzibar. Kila jambo linafaida na hasara zake, mnaoraha kuitawala Zanzibar ila kuihudumia mnakasirika.Tanesco Tukumbukeni na sisi huku Tanganyika!
Tupunguzieni hata bei ya Unit!
Ikiwezekana hata mara.4 Kwa mwaka..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
ni kweli ni mazuzuWatanganyika tumekuwa mazuzu hili deni limesamehewa kwa misingi gani wakati hata pesa za kuendesha Muungano hawatoi
Na mie TRA wanisamehe basi 🤣🤣🤣 wananinyima rahaaasafi sana mama, kazi iendelee
cc Juma1967