JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Zenj,inaingia kwa Mkoa wa kagera mara Tano,Haina viwanda vingi bili yake ya umeme ni sawa na matumizi ya umeme kwa kata ya kawe Dar,it's drop of water In a ocean!!ni pesa kidogo sana.Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.
Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama.
Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.
USSR
Uktegemea wanaotawala zenj,wote ni mamluki kutoka bara,waliamia huko in 1940s,
Zenj tuione kama wilaya ya kaliua au mbogwe tu