TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama.

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.

USSR
Ufisadi huu sasa!
 
Iwapo ccm itapitisha jina la Yule bibi kuwa mgombea watarajie ni Mgombea wa na Kile kisiwa.
 
Zenj,inaingia kwa Mkoa wa kagera mara Tano,Haina viwanda vingi bili yake ya umeme ni sawa na matumizi ya umeme kwa kata ya kawe Dar,it's drop of water In a ocean!!ni pesa kidogo sana.
Uktegemea wanaotawala zenj,wote ni mamluki kutoka bara,waliamia huko in 1940s,
Zenj tuione kama wilaya ya kaliua au mbogwe tu
Pesa za luku zinakwenda wapi..au huko hakuna luku Kuna (TUKWAU) Yani tumia Kwanza usamehewe!
 
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama.

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.

USSR
Kuna nafasi nyingi zimetoka TRA naambiwa wametengewa zao.
 
Kumbuka kwamba wenzenu mumewaibia nchi nzimaaa nyie umeme tu unawauma kiasi hicho!

Kwa upande mwengine Wazanzibari wanakubaliana na wewe huu muungano ni wafigisu tupu bora tu uvunjwe!
Ukivunjwa kuna watu watakuwa wakimbizi
 
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.

Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama.

Huku wabara wakiendelea kukamuliwa na tozo, wenzao huko Zanzibar mwendo mdundo.

USSR
Chato!
 
Back
Top Bottom