Ndugu ni lazima wasaidiane tena yule mwenye uwezo zaidi amsaidie yule mwenye uwezo mdogo ! Hii sawa kabisa wala haina shida !!Mchepuko Zenj anatunyonya sana Wadanganyika
Hata maandiko kwenye vitabu vyote vitakatifu vinaamuru ndugu wasaidiane !Kama sio wakati huu ni wakati upi sasa? Viti bimekaliwa na watu kuyoka mekka