BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Shirika la Umeme Tanzania limetangaza kufanya matengenezo hayo kwenye Kanzi Data ya Mfumo wa manunuzi ya Umeme (LUKU) ili kuongeza ufanisi.
Matengenezo hayo yatachukua siku 4 kuanzia Jumatatu Septemba 12 hadi 15, 2022 na wateja wataweza kununua Umeme muda wote isipokuwa kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi.
Shirika limeshauri wateja kununua Umeme wa ziada au kufanya manunuzi nje ya muda wa matengenezo ili kuepusha kukosa huduma.