KERO TANESCO kupitisha NGUZO NA WIRE ZA UMEME bila kumshirikisha mwenye shamba ni sawa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Andika barua ya malamiko ndani y mwezi mmoja. Iwasilishe kwao. Wasainishe dispatch ili wasije kukukana. Then subiria majibu yao .
 
Una hati / document za eneo lako na mipaka husika kama unavyo na umeacha mita moja na nusu na yeye ameacha hizo mita moja na nusu hizo nguzo ziwekwe kwenye hilo eneo na sio kwako
 
Una hati / document za eneo lako na mipaka husika kama unavyo na umeacha mita moja na nusu na yeye ameacha hizo mita moja na nusu hizo nguzo ziwekwe kwenye hilo eneo na sio kwako
Mkuu hizo wire mwanzo zilikuwa zinapita juu ya bati la huyo jirani,
Baadae ndy akasogeza nguzo ingine ili wire upite kwngu,,kahamisha toka kwenye bati lake usipite akaelekeza shambani kwngu,
Ila mimi sina tatizo na wire ukipita mpakani na sio Kati kati ya shamba langu

Eneo halina hati ila lilmepimwa na mawe ya ardhi yapo.
 
Kawashitaki ulipwe.. hawajakushirikisha ni eneo lako chochote kikitokea hapo mhusika ni Tanesco
 
Kuna kijiji wamekata mikorosho ya watu ni halali kweli bila fidia?
 
Ni kutoa taarifa kwa meneja wa sehemu husika. Labda ukute meneja ana undugu na mwenye kaeneo, hii ni Tz bwana.
 
TANESCO wajinga, waliwahi pitisha nguzo kati kati ya kiwanja kina nyumba eti wanawasogoezea watu umeme, tena wakasema eti sio ubinaafamu utazani hilo ni suala langu. Nilochofanya niliweka msingi nikapandisha boma nikaezeka, waya zilikuwa na magamba nikazipush pembeni zokakaa zina bembea kwenye nyumba wakaja kutoa wenyewe.
 
Kuna kuna vipimo inatosha wasiliana na mamlaka husika hizo nguzo ziwekwe kati ya mpaka wako na mpaka wake nyote mkiacha 1.5m hata sisi wapita njia mtatusaidia kupita na hizo nguzo na huduma za kijamii zitawekwa hapo na mtapunguza mifarakano inayoweza kutokea
 
Jamaa hana eneo tena hata mguu 1,
ameshamaliza kwa ujenzi,
Ndy sababu ya kuhamishia kwangu.
 
andika barua kwa Meneja Mkoa ukielezea scenario vizuri na weka na sketch map ya kilichofanyika. make copies to higher authorities , MD, ....
 
TANESCO njooni mtoe majibu yenu mepesi kama kawaida ya tutumie jina lako, namba ya simu na mita namba. Maana nyie ni maboya kiasi mmekariri jibu moja tu bila kuchukua hatua zozote.
 
andika barua kwa Meneja Mkoa ukielezea scenario vizuri na weka na sketch map ya kilichofanyika. make copies to higher authorities , MD, ....
Shukran mkuu
 
Watu wengine mna uzezeta wa hali ya juu. Ni ulokole unaharibu hivi akili zako au kuna shida nyingine? Mbona analolalamikia halina uhusiano kabisa na huu uharo wako?
Sawa wewe utaishi milele endelea tu kujifanya mbabe
 
Sawa wewe utaishi milele endelea tu kujifanya mbabe
Unatishia watu na mikwala ya kizamani kweli wewe. Kuishi milele hakuna uhusiano wowote na kutenda mema. Binadamu tunatakiwa kutenda mema hata kama maisha yetu ni mafupi kiasi gani. Au hata kama kungekuwa kuna uwezekano wa kuishi milele basi bado tungetakiwa kutenda mema. Back to the topic. Jamaa kasema Tanesco wamepitisha nguzo kwenye kiwanja chake na inamsumbua. Wewe unaanza kumtishia na mambo ya kutoishi milele. Wap akili? Unajua madhara ya kupisha nguzo karibu na nyumba? Kwa nini wasifuate utaratibu?
 
Watu wengine mna uzezeta wa hali ya juu. Ni ulokole unaharibu hivi akili zako au kuna shida nyingine? Mbona analolalamikia halina uhusiano kabisa na huu uharo wako?
Mtu kichaa kama wewe huwezi elewa comment yangu, uhusiano wa nilichoandika na alichoandika mtoa mada anayeweza kuelewa ni mtu mwenye ufahamu wa maisha sio wewe kula kulala kwa shemeji yako.

Nyaya za umeme zinahamishika muda wowote, eneo la jamaa liko wazi tena sio kiwanja ni shamba tu tena eneo ambalo halijapimwa ulitaka tanesco wapitishe nyaya matakoni mwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…