KERO TANESCO kupitisha NGUZO NA WIRE ZA UMEME bila kumshirikisha mwenye shamba ni sawa?

KERO TANESCO kupitisha NGUZO NA WIRE ZA UMEME bila kumshirikisha mwenye shamba ni sawa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mtu kichaa kama wewe huwezi elewa comment yangu, uhusiano wa nilichoandika na alichoandika mtoa mada anayeweza kuelewa ni mtu mwenye ufahamu wa maisha sio wewe kula kulala kwa shemeji yako.

Nyaya za umeme zinahamishika muda wowote, eneo la jamaa liko wazi tena sio kiwanja ni shamba tu tena eneo ambalo halijapimwa ulitaka tanesco wapitishe nyaya matakoni mwako?
Kama kupitisha matakoni kwangu ni kufuata sheria basi waje wapitishe. Bado narudia. IQ yako ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom