SagaciR nisaidie, please. Nilinunua kiwanja sehemu haijapimwa. Baadaye wakaja private surveyors wakapima sehemu yangu na kuwagawia jirani zangu. Wakachora na ramani na kuzipeleka mipango miji, sijui kama zilikubaliwa, sijui.
It is like that, waliunganisha sehemu kubwa ya eneo langu na kumpa jirani ambaye alikuwa amenunua kwa mtu huyo huyo aliyeniuzia. Katika hali hii nifanyeje?..viwanja vilikuwa na eneo la 1800 sq mtr kutoka less tha 400 sq meters za majirani. hivyo kwangu walikata sana eneo langu.
Pili, wakaweka na barabara wholly kwenye kiwanja changu. Nimekataa kuwa upimaji huu haukunishirikisha hivyo siwezi kukubali kumegwa ardhi yangu, lkn mweyekiti wa mtaa anataka kutumia ubabe. Nifanyeje