Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa ulivyo mjibu huyu kiongoz naomba niku PM issue yangu na mm nahisi unaweza kunishauri kitu, linaendana kama hiliKwa mijibu wa mabadiliko ya sheria ya mwenendo wa madai sura 33 (CAP 33 R.E 2019) kifungu cha 64A imeanzisha kitu kinaitwa utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi (“Conciliation, negotiation and mediation")
Ndiyo, nenda kwa Wakili 1 kwa 1, wakili ndiyo atawaandikia NOTISI YA KUWATAKA WAZINGATIE HAKI ZAKO (i.e DEMAND NOTICE) ndani ya muda fulan (say 7, 14, 21 days etc). Barua ya wakili wataijibu, ila ya kwako bila wakili utakuwa unaandika wala majibu hupewi ya maandishi (labda ya mdomo ambayo nayo hayaridhishi).
Wakili sio kwamba atakimbiliana mahakamani kama mtu anaharisha kuwahi msalani hapana, Mahakama huwa ni njia ya mwisho baada ya njia za diplomasia kushindikana (Last resort).
A good advocate has a duty to the client, duty to the court, duty to the public and duty to the opponent.
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka malalamiko yako kwa Mkurugenzi wa upimaji na Ramani ya ardhi juu ya hilo jambo. Pia lalamiko lako lijikite kwamba wakati wanafanya upimaji hukupewa taarifa/notisi juu ya hilo suala ambalo limepelekea hayo yote kutokea. Laiti ungepata taarifa na ukahudhuria wakati wa upimaji hakika makosa yasingetokea. Hivyo basi, kosa ni la kwao na siyo lako.SagaciR nisaidie, please. Nilinunua kiwanja sehemu haijapimwa. Baadaye wakaja private surveyors wakapima sehemu yangu na kuwagawia jirani zangu. Wakachora na ramani na kuzipeleka mipango miji, sijui kama zilikubaliwa, sijui.
It is like that, waliunganisha sehemu kubwa ya eneo langu na kumpa jirani ambaye alikuwa amenunua kwa mtu huyo huyo aliyeniuzia. Katika hali hii nifanyeje?..viwanja vilikuwa na eneo la 1800 sq mtr kutoka less tha 400 sq meters za majirani. hivyo kwangu walikata sana eneo langu.
Pili, wakaweka na barabara wholly kwenye kiwanja changu. Nimekataa kuwa upimaji huu haukunishirikisha hivyo siwezi kukubali kumegwa ardhi yangu, lkn mweyekiti wa mtaa anataka kutumia ubabe. Nifanyeje