TANESCO Kuweka nguzo kwenye Kiwanja cha nyumba imekaaje kisheria?

Tunashukuru kwa taarifa

Tunakushauri ufike ofisi ya eneo lako kwa utatuzi wa swala hili kwa kuwa uwekaji wa miundombinu unashirikisha viongozi wa maeneo husika na wakazi pia

TANESCO MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina swali dogo sana la kuumiza Tanesco, ni lini kata ya chibingo,kilicho Kijiji Cha chibingo, wilaya ya geita,mkoa wa geita,pembeni mwa barabara ya kutoka katoro kuelekea geita mjini kitapatiwa umeme?

kuna shule ya msingi chibingo na zahanati na havina umeme .kila wakati wananchi wanasimamia barabarani wakiomba viongozi wao kuwapatia umeme na kupewa ahadi bila kutekelezwa.tunaomba wananchi hao kupatiwaumeme wapi zaidi ya kaya 600 ziko gizani tangu enzi ya uhuru.

Eneo Hilo wananchi hawana maji na wangefanikiwa kupata umeme wangepump maji kwa kutumia umeme.matokeo yake hakuna maji,hakuna umeme,hakuna viwanda vidogo vidogo vya kusaga mahindi, kuchomelea, kuziba panja.

sikilizeni kilio Cha umeme eneo Hilo,meneja wa Tanesco geita akiulizwa anasema Jana fedha kuweka umeme eneo hilo.
 
SagaciR nisaidie, please. Nilinunua kiwanja sehemu haijapimwa. Baadaye wakaja private surveyors wakapima sehemu yangu na kuwagawia jirani zangu. Wakachora na ramani na kuzipeleka mipango miji, sijui kama zilikubaliwa, sijui.

It is like that, waliunganisha sehemu kubwa ya eneo langu na kumpa jirani ambaye alikuwa amenunua kwa mtu huyo huyo aliyeniuzia. Katika hali hii nifanyeje?..viwanja vilikuwa na eneo la 1800 sq mtr kutoka less tha 400 sq meters za majirani. hivyo kwangu walikata sana eneo langu.

Pili, wakaweka na barabara wholly kwenye kiwanja changu. Nimekataa kuwa upimaji huu haukunishirikisha hivyo siwezi kukubali kumegwa ardhi yangu, lkn mweyekiti wa mtaa anataka kutumia ubabe. Nifanyeje
 
kwenye viwanja vyenu mliacha 1.5 m kwa kila mmiliki au nyote mlijenga kwenye mipaka yenu ? Hili ni tatizo kubwa sana nchini sababu kama hizo meters zipo jaribu kuwaambia / kuwashauri kwanini wasiamishe hizo nguzo zao kwenye hilo eneo
unsurveyed areas nadhani are not bound by those rules! Ila kama watu waelewa ni vema kuacha that spacing
 
Tunashukuru kwa taarifa

Tunakushauri ufike ofisi ya eneo lako kwa utatuzi wa swala hili kwa kuwa uwekaji wa miundombinu unashirikisha viongozi wa maeneo husika na wakazi pia

TANESCO MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco, juzi walikuja watu wa Tanesco wakaweka suppoting wire, ule unaotoka kwenye nguzo kwenda chini ya ardhi (sijui unaitwaje) bila kunishirikisha/kuniambia.

Je hii ni sawa? Unanishauri nifanyeje maana naona kama wametumia ubabe kufanya walichokifanya, na sehemu hiyo iliposimikwa wire siwezi kufanya lolote I am deprived of my space.
 
Stay wire inawekwa ili kuimarisha nguzi iliyo kwenye eneo lako na haizui wewe kutumia eneo lako kwa namna yeyote ila kwa kuwa inachukua sehemu ndogo sana.hivyo huu ni usalama wako na usalama wa miundimbinu ya umeme ya eneo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa vema, nawashauri next time wasiliana na mwenye eneo kuweka urafiki/ costomer care relationship iwe nzuri.
 
Hii nguzo ipo kijiji kinaitwa Betheli, Gonja Bombo, Same, Kilimanjaro. Hii nguzo ina miaka mitatu sasa toka tumeanza kutoa taarifa katika kituo cha Tanesco, Ndungu, Same, Kilimanjaro.

Hii nguzo hapo ilipo ina shikiliwa na waya (juu ya huo mstari mwekundu nilioweka) unaoingiza umeme ndani ya nyumba kwa sasa hali imekuwa mbaya wakati wowote huo waya una weza kukatika.

Tumekuwa tukitoa taarifa kituo cha Ndungu au pale ambapo mafundi wamekuwa wakipandisha mlimani kwajili ya kufanya matengenezo mengine ya umeme Bombo Gonja lakini majibu yao yamekuwa tutakuja kurekebisha huu ni mwaka wa tatu sasa.

Hapa ndio itakuwa mara ya mwisho kutoa taarifa hii baada ya hapa tutamtafuta WAZIRI anae husika maana ule waya unachubuka na unaweza kuleta madhara kwa watu wanao ishi pale nyumbani kwa sasa.

Namba ya Mita 37142032178
Mahali - Betheli, Gonja Bombo
Wilaya - Same
Mkoa - Kilimanjaro.
 
Hii nguzo ipo kijiji kinaitwa Betheli, Gonja Bombo, Same, Kilimanjaro.
Hii nguzo ina miaka mitatu sasa toka tumeanza kutoa taarifa katika kituo cha Tanesco, Ndungu, Same, Kilimanjaro...
Tanesco hapo mmeshikwa ugoni.katoeni hiyo nguzo
 
Usijali mtapata umeme haraka sana huo mkoa wa Yesu bwana cc kangi
 
Mlivyo wajinga mtawachagua tena
 
Wakati wa zoezi la upimaji ulikuwa unashiriki au ndo ulikuwa bze huendi kwenye eneo lako?
 
Hapa ungeweka hizo sheria ingekuwa vizuri maana katiba yenyewe hutujawahi hata kuishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…