TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

Ila kuwa kiongoz haimanishi kuwa na akili yan kiongoz mkubwa kabisa wa shirika la nchi kubwa anawezaje kuwaza uharo Kama huo wa kuzima umeme siku ya sensa hizo tablet zenyewe zinatumia umeme
 
Niwapongeze shirika la ugavi kwa kazi nzuri ya kuitekeleza Ilani kwa vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…