Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
TANESCO
Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi langu ulianza tarehe 27/01/2026, ambapo niliwasilisha maombi ya kuunganishiwa umeme mara baada ya kuona nguzo zikianza kuwekwa katika eneo letu.
Baada ya maombi yangu kufanyiwa mchakato, nilipokea taarifa kwamba: “Ombi lako limekamilika, wasilisha Na. 270126-1748, kwa mkandarasi aliyesajiliwa aweke taarifa za wayaring na kuwasilisha TANESCO.” Hivyo, namba ya ombi langu ni 270126-1748.
Kwa kuwa wakati huo eneo letu lilikuwa bado halijawa tayari kuunganishiwa nyaya, nilivumilia na kusubiri hadi hatua hiyo ikakamilika. Hatimaye tarehe 07/08/2026 nilipatiwa namba ya malipo 991036966445, na tarehe 10/08/2026 nililipa TZS 320,960 kwa ajili ya kuunganishiwa umeme.
Kinachonipa mashaka ni kwamba hadi sasa bado sijaunganishwa, wakati baadhi ya majirani ambao wameanza mchakato hivi karibuni au waliolipia baada yangu tayari wameunganishiwa, wengine ndani ya siku tatu tu baada ya malipo. Naomba nifahamishe kwa nini ombi langu, ambalo nilianza kulifuatilia tangu Januari, bado halijakamilishwa.
Nimefuata mchakato huu tangu tarehe 27/01/2026 na nimekuwa mvumilivu kwa muda wote huo. Zaidi ya gharama nilizolipia TANESCO, nimeingia pia kwenye gharama nyingine za maandalizi, ikiwemo kununua nguzo kwa gharama ya TZS 300,000. Wakati wa survey pia nilikumbana na hali ya kuombwa fedha ili mchakato uende haraka. Jambo hili limenitia wasiwasi, hivyo naomba TANESCO mlifuatilie kwa umakini.
Mimi sipo tayari kutoa fedha yoyote ya ziada ili kupewa huduma ambayo tayari nimefuata utaratibu na kulipia gharama zake rasmi. Nimepoteza muda mwingi nikisubiri huduma hii, na kwa sasa ninachohitaji ni kupata huduma yangu kwa mujibu wa utaratibu rasmi bila kuombwa malipo yasiyo rasmi.
Baada ya ombi kukamilika na mimi kulipa TZS 320,960 tarehe 10/08/2026, naomba nijue ni kwa nini hadi sasa sijaunganishiwa umeme wakati baadhi ya waliolipa baada yangu tayari wamepata huduma.
Naomba TANESCO mfuatilie kwa kina ombi langu Na. 270126-1748, mnifahamishe hatua lilipofikia, kama kuna jambo lililokwama na sababu ya kuchelewa, pamoja na lini ninaweza kutarajia kuunganishiwa.
Ninachoomba ni huduma yangu itolewe kwa haki, kwa utaratibu rasmi na bila kulazimika kutoa fedha yoyote nje ya gharama rasmi.
Jina: Jumanne Mwita
Simu: 0768966075
Namba ya ombi: 270126-1748
Namba ya malipo: 991036966445
Kiasi: TZS 320,960
Tarehe ya malipo: 10/08/2026
MAJIBU YA TANESCO 👇🏼

========================

Kwa...