la magica
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,979
- 3,148
Hata Tanesco wanakodisha gari binafsi, wanakodi hadi bajaji, maguta(Toyo).Hao ni REA au Umeme Vijijini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tanesco wanakodisha gari binafsi, wanakodi hadi bajaji, maguta(Toyo).Hao ni REA au Umeme Vijijini
Sasa nchi rasmi imeingia utawala wa 'Kambale'. Baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu. Namba binafsi inaweza kutumika kwenye kite go cha usalama tu kwenye shirika la umma. Na mara nyingi ni magari mdogo si malori.Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngapi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida.
Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa na Transfoma. Nilijua wanaweza wakawa wahalifu wa miundombinu nikajipa moyo kwa kuwa jirani pana kijiwe cha bodaboda. Mara ya pili nikakutana na nyingine ubavuni imeandikwa Tanesco Shinyanga mida hiyo hiyo na usiku.
Je, imekuwaje hii!? Shirika limebinafsishwa!? Au lina changamoto za fedha kiasi cha kukodisha magari ya watu/kampuni binafsi!?
Kwa hiyo Mwenye gari hatengenezi faida, baada ya shirika kuzikwepa hizo gharama.Hizo ni gharama za mwenye gari hazihusu shirika. Kampuni nyingi zina outsource huduma kupunguza gharama kwao na kuzihamisha kwa anayetoa huduma.
Juzi yamekodiwa ma bus kumi ya shabiby kuwatembeza wabunge kukagua miradi ya serikaliMbona yapo miaka yote. Kuna kazi maalumu kama ya REA na mengine. Umewahi kuona Serikali ikikodisha mabasi ya abiria kwa kazi fulani. Je Wanaosambaza umeme wa REA wanatumia magari yenye namba gani? , Fikiri kabla ya kuuliza
Kwa uelewa wangu, nitakusaidia ufafanuzi kidogo, ila una haki ya kukubali ama kukataa, kwa sababu inategemea umeegemea wapi.Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngapi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida.
Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa na Transfoma. Nilijua wanaweza wakawa wahalifu wa miundombinu nikajipa moyo kwa kuwa jirani pana kijiwe cha bodaboda. Mara ya pili nikakutana na nyingine ubavuni imeandikwa Tanesco Shinyanga mida hiyo hiyo na usiku.
Je, imekuwaje hii!? Shirika limebinafsishwa!? Au lina changamoto za fedha kiasi cha kukodisha magari ya watu/kampuni binafsi!?
Mkuu, serikali ina mambo mengi mno ambayo raia wa kawaida asiye mtumishi ni ngumu sana kuyaelewa. Acha Tutabaki kubwabwaja humu JF, lakini all in all serikali inaweza kutumia namba yoyote kwenye vyombo vya moto kwa makusudi fulani, au ikawa na chombo cha moto kisicho na namba ya usajili kabisa. Ibaki hivyo kwa sasa.Sasa nchi rasmi imeingia utawala wa 'Kambale'. Baba sharubu, mama sharubu na mtoto sharubu. Namba binafsi inaweza kutumika kwenye kite go cha usalama tu kwenye shirika la umma. Na mara nyingi ni magari mdogo si malori.
Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngapi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida.
Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa na Transfoma. Nilijua wanaweza wakawa wahalifu wa miundombinu nikajipa moyo kwa kuwa jirani pana kijiwe cha bodaboda. Mara ya pili nikakutana na nyingine ubavuni imeandikwa Tanesco Shinyanga mida hiyo hiyo na usiku.
Je, imekuwaje hii? Shirika limebinafsishwa!? Au lina changamoto za fedha kiasi cha kukodisha magari ya watu/kampuni binafsi?
Wewe unaeyajua hayo ndio uyaseme. REA na Tanesco ni taasisi moja?Mbona yapo miaka yote. Kuna kazi maalumu kama ya REA na mengine. Umewahi kuona Serikali ikikodisha mabasi ya abiria kwa kazi fulani. Je Wanaosambaza umeme wa REA wanatumia magari yenye namba gani? , Fikiri kabla ya kuuliza
Wakandarasi wa REA ndio wana_respond to Emergency, tena hapa mjini kabisa! Hapa sizungumzii mikoani huko, hii ni hapa hapa "Dathlam" tena Kimara_Baruti.Brother kunakitu unatakiwa uelewe. Sio kila anaedeal na miundombinu ya umeme ni Tanesco. kuna baadhi ni Wakandarasi wa REA
Kwani wabunge wanafanya ziara kila siku.!? Ila shughuli za maintenace au emergency kwa Tanesco ni za kila siku, so wao kuwa na gari kwa ajili hiyo wala si ajabu. Labda uniambie mbona wabunge kila siku wanafanya ziara kukagua miradi na magari wanakodi.Juzi yamekodiwa ma bus kumi ya shabiby kuwatembeza wabunge kukagua miradi ya serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
waakodisha pick ups kwa ajili ya kazi. Kama una Pick up waone waikodisheNi mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngazi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida.
Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa na Transfoma. Nilijua wanaweza wakawa wahalifu wa miundombinu nikajipa moyo kwa kuwa jirani pana kijiwe cha bodaboda. Mara ya pili nikakutana na nyingine ubavuni imeandikwa Tanesco Shinyanga mida hiyo hiyo ya usiku.
Je, imekuwaje hii? Shirika limebinafsishwa!? Au lina changamoto za fedha kiasi cha kukodisha magari ya watu/kampuni binafsi?
haya bwana kaa watangaze!Niwaone!? Au wao ndio watangaze tenda watu waombe?
Je TANESCO ya kweli haya?! Ngoja tuisogeze @takukuru au @pccb wachunguze…Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngazi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida.
Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa na Transfoma. Nilijua wanaweza wakawa wahalifu wa miundombinu nikajipa moyo kwa kuwa jirani pana kijiwe cha bodaboda. Mara ya pili nikakutana na nyingine ubavuni imeandikwa Tanesco Shinyanga mida hiyo hiyo ya usiku.
Je, imekuwaje hii? Shirika limebinafsishwa!? Au lina changamoto za fedha kiasi cha kukodisha magari ya watu/kampuni binafsi?
Acha ujinga wewe unajua mnaingia mkataba wa malipo uwe unefanya au hujafanya kazi analipwa mtuGharama za service, kuajiri dereva kumlipa mshahara, paye, nssf, posho za
likizo, kununua matairi, insurance