King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Sio error. Kwa mita mpya unahesabiwa deni tokea mwaka Jana mwezi wa 8. Hivyo mtu akiunganisha umeme Leo anapaswa kulipa miezi 10 iliyopita na ndio inakuja hiyo 10000Makato ni 1000 hata mimi huwa nalipa hivo mjini na kijijini.
Kama unakatwa hivo basi kuna error mahali kwamba nyumba yako inachukuliwa kama jengo la ghorofa kadhaa.
Nafikiri ni busara kwenda ofisini kwao kuliko kulalama nyuma ya keyboard
Kumbe ni 10000 ya mkupuo mmoja mimi nilijua kila mwezi ndio malipo yake.Sio error. Kwa mita mpya unahesabiwa deni tokea mwaka Jana mwezi wa 8. Hivyo mtu akiunganisha umeme Leo anapaswa kulipa miezi 10 iliyopita na ndio inakuja hiyo 10000
Na hata ukija kuunga umeme mwakani, basi jua utakutana na deni la mwaka Jana lililoanza mwezi wa 8
Unakatwa deni lote kwa mkupuo mmoja alafu ndio unaanza kukatwa hizo bukubukuKumbe ni 10000 ya mkupuo mmoja mimi nilijua kila mwezi ndio malipo yake.
Kwa scenario hiyo inawezekana maombi ya kuunga umeme yalipelekwa mwez wa 8 mwaka jana, maana yake nyumba ilikuwepo.
Kama ndivyo ni sahihi maana kodi sio ya ya masuala ya umeme bali ni ya jengo kuwepo
Wana uhakika gani kama jengo lilikuwepo tokea mwezi wa 8?Kumbe ni 10000 ya mkupuo mmoja mimi nilijua kila mwezi ndio malipo yake.
Kwa scenario hiyo inawezekana maombi ya kuunga umeme yalipelekwa mwez wa 8 mwaka jana, maana yake nyumba ilikuwepo.
Kama ndivyo ni sahihi maana kodi sio ya ya masuala ya umeme bali ni ya jengo kuwepo
Mkuu soma vizuri, nimesema kama maombi ya kufunga umeme yalifanyika mwezi wa 8 maana yake jengo lilikuwepo huo ni uhakika maana ramani ya wiring iliambatanishwa na surveyor alikuja kuona.Wana uhakika gani kama jengo lilikuwepo tokea mwezi wa 8?
Hapo kosa lako ni kuchelewa kujenga, maana yake Kila mtu alitakiwa awe na nyumba mwezi wa 8.Unakatwa deni lote kwa mkupuo mmoja alafu ndio unaanza kukatwa hizo bukubuku
Bado makosa yapo maana hata aliyejenga nyumba mwezi uliopita na mwezi huu akavuta umeme, bado ataapaswa kulipa Kodi ya jengo ya mwaka jana.
Ubaya ni formula iliyowekwa Kama haijafanyia marekebisho basi hata wataojenga 2025 huko watajikuta wanapaswa kulipa Kodi ya tokea 2021.
Hichi wanachokifanya sio haki kabisaaa ,hata kama tuna shida ya kukusanya kodi sio kwa wizi huu ndugu.Unaionea tu bure tanesco,mulaumu Mwigulu na serikali yake,leo kwa mara ya kwanza nimemkubali mwenyekiti wa SACCOS ya Kaskazini kwenye hotuba yake amesema jambo muhimu sana na somo kwa Mwigulu na January kuhusu tozo na kodi pia kuhusa wanachama wa SACCOS kuwa si lazima wote tufanane au tufuate yale ya SACCOS hata wanaopingana nao waheshimiwe.
Hakuna cha errors wala nini inamaana majirani wangu wote wana hiyo errors wote wamekatwa hivyo, maana nimewauliza ,tena mmoja anamita nne kila mpangaji kamuwekea mita yake kote wamekata 10000+1000 =11000 hawana aibu .Makato ni 1000 hata mimi huwa nalipa hivo mjini na kijijini.
Kama unakatwa hivo basi kuna error mahali kwamba nyumba yako inachukuliwa kama jengo la ghorofa kadhaa.
Nafikiri ni busara kwenda ofisini kwao kuliko kulalama nyuma ya keyboard
Sio kweli huu ni wizi ,mimi sikutuma maombi mwezi wa nane , kwahiyo na majirani zangu wote walituma maombi mwezi wa nane.Mkuu soma vizuri, nimesema kama maombi ya kufunga umeme yalifanyika mwezi wa 8 maana yake jengo lilikuwepo huo ni uhakika maana ramani ya wiring iliambatanishwa na surveyor alikuja kuona.
Daylight robbery .Hapo kosa lako ni kuchelewa kujenga, maana yake Kila mtu alitakiwa awe na nyumba mwezi wa 8.
Tunalamba asali.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mkuu hawa ni matapeli nimeenda kuuliza Tanesco wanasema sio wao nenda TRA nimeenda TRA wanasema andika , nimeandika barua wanasema mpaka makao makuu huku wanaendelea kykata tena kila mwezi .Wana uhakika gani kama jengo lilikuwepo tokea mwezi wa 8?
January Makamba mbaya sana , hata aibu hana.Unaionea tu bure tanesco,mulaumu Mwigulu na serikali yake,leo kwa mara ya kwanza nimemkubali mwenyekiti wa SACCOS ya Kaskazini kwenye hotuba yake amesema jambo muhimu sana na somo kwa Mwigulu na January kuhusu tozo na kodi pia kuhusa wanachama wa SACCOS kuwa si lazima wote tufanane au tufuate yale ya SACCOS hata wanaopingana nao waheshimiwe.
Ndio maana nimetumia neno kama, kwasababu hukusema lini ulifanya maombi. Sasa wewe nenda ofisini peleka malalamiko yako, majibu utakayopata ndio yatahitaji mjadalaSio kweli huu ni wizi ,mimi sikutuma maombi mwezi wa nane , kwahiyo na majirani zangu wote walituma maombi mwezi wa nane.
Huwezi kuichamba serikali mkuu hahaaa eti hawana aibu.Hakuna cha errors wala nini inamaana majirani wangu wote wana hiyo errors wote wamekatwa hivyo, maana nimewauliza ,tena mmoja anamita nne kila mpangaji kamuwekea mita yake kote wamekata 10000+1000 =11000 hawana aibu .