TANESCO mita zenu mpya zina shida gani? Zinakata umeme wakati upo

TANESCO mita zenu mpya zina shida gani? Zinakata umeme wakati upo

Kuna hizi mita za TANESCO wanazofungia wateja sasa hivi, kila siku usiku lazima zikate umeme lakini kwa wale wenye mita za zamani umeme upo.

Tatizo nini? Au ndio mita za michongo?

Kipara kipara Kipara, nimekuita mara 3, waliopiga ma deal wote huwa na Uzee usio furaha
 
Nilikuwa na tatizo kama hili la kukatika umeme usiku wakati umeme upo, tatizo linaweza kuwa;
1. Low voltage, hata ukiwa na 3 phase, line moja ikiwa na low voltage au haina umeme kabisa basi inazima umeme usiingie tofauti na meter za zamani.
2. Unaweka remote mbali na meter ya LUKU, especially kama una kagorofa, kama meter ipo juu bas na remote ishinde/ilale juu (nadhani kuna mawasiliano zinafanyaga)
Hiyo no 2 sidhani km ni sababu ukizingatia kuwa Kwa sasa mita zote zinawekwa juu ya nguzo ambazo zinakuwa umbali fulani na nyumba
 
Back
Top Bottom