Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme.

Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona siwaelewi kabisa.

Husika cc: TANESCO
 
Maji hakuna mvua hazijanyesha mda mrefu sana ndugu mteja Nchi yetu imeandamwa na ukame sababu ya tabia Nchi tunaomba uwe mvumilivu tunalifanyia kazi, taja sehemu ulipo tafadhari ndugu mteja wahudumu wetu waweze kukufikia mara moja kutatua changamoto yako Ila usisahau maji hakuna kabisa tupo kwenye ukame.
 
Dah 🤣🤣🤣
 
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Back
Top Bottom