Maji hakuna mvua hazijanyesha mda mrefu sana ndugu mteja Nchi yetu imeandamwa na ukame sababu ya tabia Nchi tunaomba uwe mvumilivu tunalifanyia kazi, taja sehemu ulipo tafadhari ndugu mteja wahudumu wetu waweze kukufikia mara moja kutatua changamoto yako Ila usisahau maji hakuna kabisa tupo kwenye ukame.