Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kwangu unawaka naona kwa jirani wamemuminyaa.Mkuu huku kwetu wanafanya mgao wa nyumba kwa nyumba, unaona kwa jirani kuna umeme kwako hakuna, kwa jirani mwingine unaona umeme unawaka kwa anayefuatia hakuna hadi unajiuliza hiki kinachofanyika ni kitu gani, bora turudi kuchaguana upya, nchi inakuwa kama haina viongozi.
Mkuu huku kwetu wanafanya mgao wa nyumba kwa nyumba, unaona kwa jirani kuna umeme kwako hakuna, kwa jirani mwingine unaona umeme unawaka kwa anayefuatia hakuna hadi unajiuliza hiki kinachofanyika ni kitu gani, bora turudi kuchaguana upya, nchi inakuwa kama haina viongozi.