TANESCO mmezidi na mgao wenu

TANESCO mmezidi na mgao wenu

soine

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,113
Reaction score
2,329
Aisee hii ni kero kwa kweli yaani kwa siku tunapata umeme kwa masaa machache tu.

Kama ni mgao basi mmetisha sana, vifaa vinaungua na hakuna fidia yoyote inayotolewa

:"><??":LL::::OKKKLLLLLLL😱😳😳😳😳😳😳😳😳😵😵😵🙄🙄
 
Makamba na majizi wenzake watuachie hiyo wizara kabla hawajaharibu pakubwa
 
Mkuu huku kwetu wanafanya mgao wa nyumba kwa nyumba, unaona kwa jirani kuna umeme kwako hakuna, kwa jirani mwingine unaona umeme unawaka kwa anayefuatia hakuna hadi unajiuliza hiki kinachofanyika ni kitu gani, bora turudi kuchaguana upya, nchi inakuwa kama haina viongozi.
 
Mimi kwangu unawaka naona kwa jirani wamemuminyaa.

Nachajisha sim kwa elfu mbili
 
Mkuu huku kwetu wanafanya mgao wa nyumba kwa nyumba, unaona kwa jirani kuna umeme kwako hakuna, kwa jirani mwingine unaona umeme unawaka kwa anayefuatia hakuna hadi unajiuliza hiki kinachofanyika ni kitu gani, bora turudi kuchaguana upya, nchi inakuwa kama haina viongozi.

Hii pia ipo hapa kwetu yaani nyumba nne tu zinakosa umeme si mchana si usiku!! halafu ukija mgao wa wote nasi tunakuwamo. Sijui hii hali ya umeme kukatika nyumba baadhi ikoje, ni wao wanaamua au umeme unakosa nguvu ya kusambaa nyumba zote
 
Ngoja waje kukuomba location na number ya simu...
Waoga na wezi ndio huwa wanahangaika na hayo. Viongozi na watendaji waliosimamia haki na ukweli hupenda changamoto na kukosolewa ili kuongeza tija kwenye uzalishaji
 
Back
Top Bottom