mountana
Member
- Sep 24, 2012
- 40
- 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kunyweni mtori nyama ziko chini mkuu.Pesa wamepewa na wao ndo wamesema pesa za malipo wamepewa toka hazina na katibu mkui hazina kathibitisha tatzo lipo kwao tanesco
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nyama hatuzifikii toka 2016, ardh ni hazina km hawatulipi tuendeleze maeneo yetu sisi.Basi kunyweni mtori nyama ziko chini mkuu.
Ndio mambo ya serikali ya wanyonge hayo, kuna watumishi wamestaafu miaka minne sasa na mafao yao hawajapewa Wala nini full kuzungushwa.Nyama hatuzifikii toka 2016 ,ardh ni hazina km hawatulipi tuendeleze maeneo yetu sisi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tupo wengi sana km wananchi 180 hakuna aliyelipwaMkuu fanya udadisi vizuri, unaweza kuta baadhi wachache hasa wenye midomo wameshalamba mshiko, jipange vizuri na wenzio muwape deadline kabla ya kulianzisha......haiwezekani TANESCO pesa zote wanazobambika kwa kuwekea wateja bill kubwa kubwa washindwe kuwalipa fidia...
Tunapenda kukujulisha kuwa unashauriwa kufika ofisini kwa ajili ya hatua zaidi, swala la madai haiwezi kujibiwa mtandaoni kwa kuwa lina masaliha ya watuTANESCO Mmekuja mwanzoni mwa mwezi wa sita mkasema mnatulipa wiki ya mwisho wa mwezi wa sita sasa ni tarehe 6 mwezi wa saba hamjatulipa na tumesubiri toka 2016.
Kama hamtulipi tupeni mamlaka ya kuendeleza maeneo yetu tumechoka, wiki ikiisha sasa wengine tutalilipoti kwa Rais Samia.
Karibu tukuhudumie, ili kuhudumiwa unapaswa kutoa taarifa kamili bila taarifa utahudumiwaje? Tunawasihi wapendwa wateja wetu kutambua umuhimu wa taarifa hata kwa siriNgoja waje na majibu yao...
Utasikia, taja eneo, sehemu, mahali, muda na siku ya madai yako...
Lipeni madai ya watu basi, tatizo ni nini? kama hamna pesa waruhusuni waendeleze maeneo yao badala ya kuendelea kuwatia ufukara.....Karibu tukuhudumie, ili kuhudumiwa unapaswa kutoa taarifa kamili bila taarifa utahudumiwaje? Tunawasihi wapendwa wateja wetu kutambua umuhimu wa taarifa hata kwa siri
Ardhi hiyo ilikuwa na tittle deed halali ya wizara?Nyama hatuzifikii toka 2016, ardh ni hazina km hawatulipi tuendeleze maeneo yetu sisi.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app.