Ndugu mpendwa Mteja wetu
Kichwa cha habari chahusika....TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa...Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani...siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme...arafu watu tunashindwa kupanga mikutano yetu (Teleconferences)..
Wanazima na kuwasha kama beat ya singeli. Inafika hatua najiuliza hv kuna matengenezo ya switch kila siku?Kichwa cha habari chahusika.
TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa.
Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga mikutano yetu (Teleconferences)
Jaribu kuwa serious basi, watu wanalalamika vifaa vyao kuharibika kwa umeme mnaokata na kurudisha hovyo hovyo, jana eneo letu mlikuwa mnarudisha umeme mdogo ambao ulikuwa unarudi na kuzima kila baada ya dakika moja na hali hiyo ikaendelea kwa masaa matatu......Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Ndio tunaomba taarifa kuwasikiliza na kuwapatia huduma,Jaribu kuwa serious basi, watu wanalalamika vifaa vyao kuharibika kwa umeme mnaokata na kurudisha hovyo hovyo, jana eneo letu mlikuwa mnarudisha umeme mdogo ambao ulikuwa unarudi na kuzima kila baada ya dakika moja na hali hiyo ikaendelea kwa masaa matatu......
Kama hili swala linaathiri mamilioni ya watu, tuseme kwa kinondoni pekee............kila mmoja akituma taarifa humu tutaishia kujaza server, jitahidi kwenda na uhalisia.Ndio tunaomba taarifa kuwasikiliza na kuwapatia huduma,
Swala la umeme au tatizo sio la watu wote bali linamuhusu mwenye tatizo hivyo hakuna majibu ya jumuiya kwa taarifa ya mtu mmoja mmoja,Kama hili swala linaathiri mamilioni ya watu, tuseme kwa kinondoni pekee............kila mmoja akituma taarifa humu tutaishia kujaza server, jitahidi kwenda na uhalisia.
Nimeamua kununua solar, Tanesco kwa sasa ni Janga la TaifaKama hili swala linaathiri mamilioni ya watu, tuseme kwa kinondoni pekee............kila mmoja akituma taarifa humu tutaishia kujaza server, jitahidi kwenda na uhalisia.
TANESCO Nina Wiki 2 sasa Nipo Wilayani Urambo mkoa wa Tabora, Kuna shida gani Hii Wilaya yaani Umeme ni Hovyo hovyoSwala la umeme au tatizo sio la watu wote bali linamuhusu mwenye tatizo hivyo hakuna majibu ya jumuiya kwa taarifa ya mtu mmoja mmoja,
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhaliTANESCO Nina Wiki 2 sasa Nipo Wilayani Urambo mkoa wa Tabora
Kunashida gani Hii Wilaya yaani Umeme ni Hovyo hovyo
Unakatika Sana hakuna Utaratibu wowote
Kwasiku unakata na kurudi hata zaidi ya mara 10 iwe usiku,Mchana ndio hivyo
Shida nn kule
Nazungumzia Urambo Walayani mjimzima Hakuna cha Eneo wala nnEneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
Hatuna tatizo la Wilaya Nzima Urambo ndio maana tuomba taarifa zako tukusikilizeNazungumzia Urambo Walayani mjimzima Hakuna cha Eneo wala nn
Namba yangu yann Kwani nashida Binafsi
Nimeuliza Wilaya nzima ya Urambo kuna shida au la
Mnaofisi kule ya Wilaya muulize mpaka saizi Umeshakata mara 3
na Haupo umeme
hii ndo athari ya haya mashirika kuajiriana kwa kujuana. Mtu anapewa kitendo cha 'customer care' lakini anakuwa na majibu mepesi mepesi tu kwa kukosa uelewa wa nini nafasi yake inahitaji.Swala la umeme au tatizo sio la watu wote bali linamuhusu mwenye tatizo hivyo hakuna majibu ya jumuiya kwa taarifa ya mtu mmoja mmoja,
unapoteza muda wako tu ndugu yangu. Hakuna la maana utakalojibiwa hapa zaidi ya majibu ya jumla tu. Ukute huyo anaejibu swali kaweka miguu juu anachezea simu kusoma udaku instagram. Atakujibu kile anachojisikia ili masaa yake yatimie aende nyumbani kulala.Nazungumzia Urambo Walayani mjimzima Hakuna cha Eneo wala nn
Namba yangu yann Kwani nashida Binafsi
Nimeuliza Wilaya nzima ya Urambo kuna shida au la
Mnaofisi kule ya Wilaya muulize mpaka saizi Umeshakata mara 3
na Haupo umeme
Hapa ndio Nachoka kabisaHatuna tatizo la Wilaya Nzima Urambo ndio maana tuomba taarifa zako tukusikilize
Hahaha Nimecheka Aiseeunapoteza muda wako tu ndugu yangu. Hakuna la maana utakalojibiwa hapa zaidi ya majibu ya jumla tu. Ukute huyo anaejibu swali kaweka miguu juu anachezea simu kusoma udaku instagram. Atakujibu kila anachojisikia ili masaa yake yatimie aende nyumbani kulala.