TANESCO mnatusababishia hasara kubwa kwa kukata na kurudisha umeme kila wakati

TANESCO mnatusababishia hasara kubwa kwa kukata na kurudisha umeme kila wakati

yaani kwa siku wanakata na kurudisha mara hamsini, bora kama wanakata wakate mazima.

mahali nafanya kazi kuna standby generator sasa ile kata na kurudi mara kwa mara hadi sensor zinashindwa kuelewa kitu gani kinaendelea mwishoe ndani ni kama mtoto anaechezea switch on & off.
 
Ndio tunaomba taarifa kuwasikiliza na kuwapatia huduma,
mnapoteza mda na maswali yenu kila siku utadhani hii inchi ina mashirika kumi ya tanesco kumbe shirika moja.

tangu muanze mgao maeneo yote yenye mgao yana hii kasumba.

mjitathmini ubora wenu, maana kama ni avarage basi mnaangukia kwenye "poor"
 
Tunaendelea kuwakumbusha wateja wetu kuwa wale ambao wanatoa taarifa kupitia mtandao huu zinazotuwezesha kuzifanyia kazi zinafanyiwa kazi na wengi watashuhuduia hili, tuendelee kujua huduma bora inaanza na taarifa kamili
 
Back
Top Bottom