BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Haya mashirika ya umma sijui kwanini Watumishi wake hawako active kabisa kushughulikia kero zinazowakumba Wananchi.
Ni miaka kadhaa sasa TANESCO mkoa wa Mwanza wameshindwa kuondoa nguzo za umeme katika barabara ya Mtaa wa Michungwani Kata ya Kilimahewa Wilayani Ilemela hali iliyopelekea Wananchi kujenga barabara ambayo ndani yake kuna nguzo za umeme.
Inasemekana Wananchi na uongozi wao wa Mtaa waliamua kujenga barabara hivo hivo kukiwa na nguzo baada ya TANESCO kushindwa kuziondoa nguzo hizi kwa muda wa miaka mitano ya wananchi kufuatilia swala hilo bila majibu.