BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mimi wameshaniunguzia vitu hadi sio poaaaa lo
Mahondaw, kuna vifaa, kutokana na umuhimu, voltage sensitivety au kuwa na gharama kubwa, LAZIMA uviwekee AVR (Automatic Voltage Regulator). Vinginevyo utalia kila siku na hizi UNDER or OVER voltage za TANESCOMimi wameshaniunguzia vitu hadi sio poaaaa lo
Tanesco ππππ
Kweli kabisa Mkuu itabidi nifanye hivo. Ndio vile mnaita ninininini guard sijui???Mahondaw, kuna vifaa, kutokana na umuhimu, voltage sensitivety au kuwa na gharama kubwa, LAZIMA uviwekee AVR (Automatic Voltage Regulator). Vinginevyo utalia kila siku na hizi UNDER or OVER voltage za TANESCO
mkuu mbona tanesco wanadai hizo nguzo ziliishaondolewa tangu may mwaka huuHaya mashirika ya umma sijui kwanini Watumishi wake hawako active kabisa kushughulikia kero zinazowakumba Wananchi.
Ni miaka kadhaa sasa TANESCO mkoa wa Mwanza wameshindwa kuondoa nguzo za umeme katika barabara ya Mtaa wa Michungwani Kata ya Kilimahewa Wilayani Ilemela hali iliyopelekea Wananchi kujenga barabara ambayo ndani yake kuna nguzo za umeme.
Inasemekana Wananchi na uongozi wao wa Mtaa waliamua kujenga barabara hivo hivo kukiwa na nguzo baada ya TANESCO kushindwa kuziondoa nguzo hizi kwa muda wa miaka mitano ya wananchi kufuatilia swala hilo bila majibu.
View attachment 3035097View attachment 3035099View attachment 3035100View attachment 3035101
View attachment 3035104
Asante sana kwa mwongozo ngoja nifanye hivoSiyo fridge guard, ni AVR kama nilivyosema. Tofauti yao ni hii;
1. Fridge guard
View attachment 3036116
Hii, ina range ya input voltage, say 190 hadi 240Vac. Kiwango chochote nje ya range hii, inakata umeme unaokwenda kwenye kifaa chako kinachotumia umeme huo. Kinachoingia kwenye fridge guard, ndo kinachotoka kikiwa ndani ya range hiyo.
2. AVR
View attachment 3036112
AVR nayo ina input voltage range ambayo itafanya kazi, say 160 hadi 250Vac. Kiwango cha umeme kinachotoka nje ya AVR kwenda kutumika na kifaa chako, kitakuwa 220Vac kila wakati (Constant output voltage). Na hapa ndo penye tofauti na fridge guard. Kwa AVR, umeme ukiwa ndani ya 160 hadi 250, yenyewe itauongeza/upunguza na kuwa 220 kila wakati kutegemeana na umeme unaokuja ni chini au juu ya 220Vac. AVR nzuri zaidi ni ile yenye range kubwa, say 140 to 260Vac.
3. Power specifications
Ili kupata ukubwa (Power) wa AVR unayoihitaji, chukua total power ya vitu vyote unavyotaka kuvipa umeme kupitia AVR yako, then kanunue AVR ya 25% more than total power uliyoipata. This will allow room for load fluctuations