Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Uko wapi mkubwa niagize vijana..Waambie TANESCO waje wachukue mita yao wakamfungie mama maushungi
Mwanzo ilikua ni kupeleka moja kwa moja ofisi za TRA au unalipa kwenye namba zao.Daah pole sana mkuu.
Hivi zamani nyie wenye nyumba mlikua mnalipaje hizo kodi??
Naomba kujua wakuu maana kwenye lile tangazo walisema mwanzo mlikua mnalipa elfu kumi, hiyo ela mlikua mnalipaje?? Na kama hujalipa ni hatua gani zilikua zinachukuliwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanasema kawaida siku ya kwanza huwa inauma ila utazoea tu [emoji28]
Sasa wa nane umeshaisha ?mwaka wa fedha unaanza mwezi wa saba kwa iyo wanakata kodi ya nyumba ya mwezi wa saba 1000 na wanane 1000 jumla 2000 hlf kuanzia wa tisa wanakata 1000 kila mwezi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sema umeumia kichiziBora yako mkuu 10,000 unit 22 mimi nusu ya hiyo wamenipa unit 1
Na mm nmekutana nayo hapa ndo maana nikatafuta nyuzi nisome nione ...sema tunapigiwaa mpira wa kutoshaaaHapo wamenipiga Knock out ya nguvu sana.
Yes walisema hao ANAUPIGA MWINGI leo ndiyo hao hao wanaleta mabandiko ya kusema anaupiga fyongo 😂!.Mlisema, "Mama anaupiga mwingi"
Kwa sasa bungeni Kwa chama tawala nimebakiwa na Josephat Gwajima na Jerry Slaa tu labda kidogo Polepole anakuja na kuondoka.Muda utafika ndiyo tutajua umuhimu wa wabunge wa vyama tofauti bungeni,
Viongozi wanaudumiwa Kila kitu bure maumivu yako atayajuaje.
Wanaokwambia elimu bure huku wao wakitumia mamilioni ya shilingi kusomesha jiongeze acha kulalamika tafuta hela kazi iendelee.
Usichechemee, tembea kifua mbele...wewe ni mlipa kodi na tozo...hela yako imejenga shule,zahanati na barabara😊Sawa ngoja tuchechemee tutafika
Vieti zinanunuliwa na hela ya kwenye bajeti..tozo ndio zitajenga hizo shule 🤣Shule wapi mkuu hela hizo naona zinanunua vieti