Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Wanakata Julai na OgastiMimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakata Julai na OgastiMimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu wanauadui wao ukute nishawahi kumushika pabaya pasipo kumufahamu.
Huu uzi wa pili ananitukana ndipo anatoa mchango.
Kwani siku hizi tanesco na luku zao wanakopesha unit za umeme?Ndio maana nasema Taifa hili likiendekeza Uhuru kwa vijana wapumbavu kama huyu Emmanuel Kasomi hatutafika popote!
Ndio maana China imepiga hatua kubwa sana kwa kuwaminya wapumbavu kama huyu!
Pia soma comments za wachangia wake utaona Askofu Gwajima ni muongo! Nchi hii ina mazombi ambayo wala hayajapigwa chanjo ya CORONA!
Mtu ameenda kununua umeme wa Tshs.5,000/= huko nyuma katika meter yake ya umeme alikuwa na deni la Tshs.4,500/= ! TANESCO wamekata deni lao in advance ( Debt collected = 4,500/=) akabaki na Tshs.500/= ya kununulia umeme ! Amepewa Unit 1.5 sawa na Tshs.500/= lakini anapotosha hapa eti amepewa Unit 1.5 kwa Tshs.5,000/= na mazombi wenzake wala hawashtuki!
Halafu huyu mpumbavu unaweza kukuta eti alipita Chuo!
Nchi hii inahitaji huruma ya Mwenyezi Mungu kwani reasoning ya raia wake wengi haina tofauti na Misukule!
Tuanze kulipia kama daraja la kigambon?Soon utakuja wizi wa flyover
Wabongo watasahauWanasema kawaida siku ya kwanza huwa inauma ila utazoea tu 😅
Kwa akili yako ya matope hapo umeeleza nini sasa ila kuna watu mnamatumizi mabaya ya akili.Wewe Msukule tambua kua hiyo ni automated system ! Kodi ya jengo kwa maelezo ya Afisa wa TRA ndugu Richard Kayombo itakatwa kwa mwezi na kwenye meter husika ( kama nyumba inazo meter zaidi ya moja),! Hivyo majengo ya kawaida yanayolipa Tshs.12,000/= kwa mwaka yatatozwa Tshs.1,000/= kwa mwezi! Na hiyo kodi haiwezi kuitwa " Debt" !Tambua kuwa umeme unaweza kununua toka TANESCO hata Mara 5 ndani ya mwezi mmoja hivyo si kila ukinunua umeme unakatwa kodi ya majengo!
Wewe ni mweupe sana kichwani acha kujianika kupitia hii " verified user account yako" unatia aibu sana kwa upotoshaji wako!
Acha tuisome namba kwakweli.Lazima tuheshimiane tu na tuongee lugha moja.
Ww utakuwa mpiga dili tu maana watu wanaofanya kazi huwa hawalalamiki kwa mujibu wa Mzee polepole.
Tupo uchumi wa kati kwahiyo hiyo ni hela ndogo sana.
Kwenye sehemu muhimu ndiyo wanakaba.
Miamala
Umeme
Bado maji nao wanajipanga.
Safi sana mama.
CCM OYEEEEE
Hata mimi wameniweka njia panda acha tuchangie kununua vieti hakuna namna.Una bahati sana , Inakuwaje unapata Umeme wa Tsh 500? Mimi mita yangu unaanzia wa Tsh 1000 chini ya hapo sipati.
Kwanini wakukate Tsh 4500 badala ya Tsh 2000 Debt Collected for July and August?
Nikisema TANESCO na TRA nawalenga hao ulio wakusudia maana hizo ni taasisi zilizo chini yao.TRA is an entity,TANSESCO is legal entity, sasa wewe UMSHANGILIA MBUNGE wako aliyepitisha alafu unamlalamikia anayetekeleza maagizo.
TANESCO hata wakiambiwa umeme uwe bure wanatekeleza. Kumbuka waliambiwa nguzi ziwe 27000 na wakafanya hivyo.
Ni uwendawazimu kulaumu TANESCO ila humtaji zungi akuyesema kodi ya uzalendo.
tumeambiwa tutazoea tuvumilie hayo maumivu niya mwanzo tu wakati inaingiaKwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Kabla hatujazoea hili linakuja jingine au wanatumia mfumo wa kusahaurisha. Ok ngoja tusubiri tena pigo jingine la kulipia nyimbo hata unapo kua unasikiliza dukanitumeambiwa tutazoea tuvumilie hayo maumivu niya mwanzo tu wakati inaingia
Hyo kwasab unakaa nyumba ya ghorofa nyumba za kawaida n buku kwahyo Hapo unadaiwa elf 5 July na August ghorofa elf 10 nyumba ya kawaida elf 2Mimi ndo wamenifanyia ukatili 5,000 eti unit 1.5
Ngoja tusubiri kila aina ya tozo na hapo 2025 wanatufunga tena goli la mkono.Bado na Tozo aka Kodi ya kukanyaga barabara zao za lami inakuja kaa chonjo, hapa kodi tu wewe kama mtu unaweza kuishiwa uwezo wa kufikiri mpaka chanzo kimoja kinakatwa kodi zaidi ya 5 na bado watu wanachekelea tu? kuna shida mahali na wale waliothubutu kusema hawakatwi kodi wameitwa kamati ya Roho mbaya ya Bunge kujieleza, kama wanasiasa wa Tanzania wangekua na kazi na sio kutegemea posho mambo haya ingekua historia, mambo ya ajabu nchi hii ni mengi sana haya angalia Tume ya Uchafuzi eti ilitumia Bilioni zote zile kupitisha watu bila mkupingwa halafu haohao wanashauru kupita bila kupingwa kusiwepo yaani, Tuombe Mungu sana.
Kuna nini boss nikatoe kale ka alfu 50 kangu niweke kwenye kibubu.Kama una account jiandae kisaikolojia