TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00

Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Ndio maana nasema Taifa hili likiendekeza Uhuru kwa vijana wapumbavu kama huyu Emmanuel Kasomi hatutafika popote!
Ndio maana China imepiga hatua kubwa sana kwa kuwaminya wapumbavu kama huyu!
Pia soma comments za wachangia wake utaona Askofu Gwajima ni muongo! Nchi hii ina mazombi ambayo wala hayajapigwa chanjo ya CORONA!
Mtu ameenda kununua umeme wa Tshs.5,000/= huko nyuma katika meter yake ya umeme alikuwa na deni la Tshs.4,500/= ! TANESCO wamekata deni lao in advance ( Debt collected = 4,500/=) akabaki na Tshs.500/= ya kununulia umeme ! Amepewa Unit 1.5 sawa na Tshs.500/= lakini anapotosha hapa eti amepewa Unit 1.5 kwa Tshs.5,000/= na mazombi wenzake wala hawashtuki!
Halafu huyu mpumbavu unaweza kukuta eti alipita Chuo!
Nchi hii inahitaji huruma ya Mwenyezi Mungu kwani reasoning ya raia wake wengi haina tofauti na Misukule!
 
Mbona povu lote hilo kama umeamua kuwa mwalimu toa darasa acha povu
 
Wewe ndo mjinga tena mkubwa kwenye uzi nimesema hawatoi mchanganuo kama nimelipa deni la 4,500 nilikuwa nadaiwa kwahiyo kodi ya pango sijalipa? Na kama nimelipa mchanganuo upo wapi?
Wewe ndo mjinga unae wapa kifua wengine kufanya haya mjinga sana
 
Wewe Msukule tambua kua hiyo ni automated system ! Kodi ya jengo kwa maelezo ya Afisa wa TRA ndugu Richard Kayombo itakatwa kwa mwezi na kwenye meter husika ( kama nyumba inazo meter zaidi ya moja),! Hivyo majengo ya kawaida yanayolipa Tshs.12,000/= kwa mwaka yatatozwa Tshs.1,000/= kwa mwezi! Na hiyo kodi haiwezi kuitwa " Debt" !Tambua kuwa umeme unaweza kununua toka TANESCO hata Mara 5 ndani ya mwezi mmoja hivyo si kila ukinunua umeme unakatwa kodi ya majengo!
Wewe ni mweupe sana kichwani acha kujianika kupitia hii " verified user account yako" unatia aibu sana kwa upotoshaji wako!
 
Mimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
Wamekata kodi ya jengo ya miezi 2 afu kinachobakia ndio pia kinafuata makato ya kawaida afu salio la mwisho ndo unapewa umeme
 
Ukistaajabu ya Tanesco utayaona ya NMB
Si mlisema mtakimbilia NMB kutoa na kutuma pesa? Kwamba serikali ni wajinga eti? 😆😆😆😆

Kwa makato ya ATM mbona utarudi kwenye miamala ya simu na kuona tozo ni nafuu .

Afu Mwigulu kaonya wanaofundisha watu kukwepa kodi,ukibainika utapata tabu Sana maana unaambiwa sio michango ya hiari ni sheria ya Bunge na Rais kaitia saini.
 
Lazima tuheshimiane tu na tuongee lugha moja.
Ww utakuwa mpiga dili tu maana watu wanaofanya kazi huwa hawalalamiki kwa mujibu wa Mzee polepole.
Tupo uchumi wa kati kwahiyo hiyo ni hela ndogo sana.
Kwenye sehemu muhimu ndiyo wanakaba.
Miamala
Umeme
Bado maji nao wanajipanga.
Safi sana mama.
CCM OYEEEEE
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00

Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
 
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00

Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
TRA is an entity,TANSESCO is legal entity, sasa wewe UMSHANGILIA MBUNGE wako aliyepitisha alafu unamlalamikia anayetekeleza maagizo.
TANESCO hata wakiambiwa umeme uwe bure wanatekeleza. Kumbuka waliambiwa nguzi ziwe 27000 na wakafanya hivyo.
Ni uwendawazimu kulaumu TANESCO ila humtaji zungi akuyesema kodi ya uzalendo.
 
Bank zikianza huo ujinga zitafilisika moja baada ya nyingine wazir nae wa tozo anafurah mapato yaliyopatikan bila kujua watu wengi wametoa pesa zao zilizokuwepo kabla ya tozo hivyo mapato yapatikane mengi ngoja tusubiri wiki nne zijazo
Zifilisike kwa ajili ya nini? Hii ni sawa sawa na ile ya kusema mawakala watafunga biashara mara mfumuko wa bei nk.

Hadi saizi hakuna kinalichoenda kinyume na mambo yanaenda. Ni hivi benki zinafanya Kazi na wafanyabiashara wenye pesa na watumishi Kazi yao kupitishia pesa .

Hakuna kitakachobadilika maana huwezi acha kutunza pesa nyingi benki
 
Back
Top Bottom