Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endapo tu wakienda kuzikusanya akili wanazoziacha pale geti la kijaniNaona CCM mwaka huu wataungana kuipinga CCM kama sikosei
Ndio maana nasema Taifa hili likiendekeza Uhuru kwa vijana wapumbavu kama huyu Emmanuel Kasomi hatutafika popote!Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Mbona povu lote hilo kama umeamua kuwa mwalimu toa darasa acha povuNdio maana nasema Taifa hili likiendekeza Uhuru kwa vijana wapumbavu kama huyu Emmanuel Kasomi hatutafika popote!
Ndio maana China imepiga hatua kubwa sana kwa kuwaminya wapumbavu kama huyu!
Pia soma comments za wachangia wake utaona Askofu Gwajima ni muongo! Nchi hii ina mazombi ambayo wala hayajapigwa chanjo ya CORONA!
Mtu ameenda kununua umeme wa Tshs.5,000/= huko nyuma katika meter yake ya umeme alikuwa na deni la Tshs.4,500/= ! TANESCO wamekata deni lao in advance ( Debt collected = 4,500/=) akabaki na Tshs.500/= ya kununulia umeme ! Amepewa Unit 1.5 sawa na Tshs.500/= lakini anapotosha hapa eti amepewa Unit 1.5 kwa Tshs.5,000/= na mazombi wenzake wala hawashtuki!
Halafu huyu mpumbavu unaweza kukuta eti alipita Chuo!
Nchi hii inahitaji huruma ya Mwenyezi Mungu kwani reasoning ya raia wake wengi haina tofauti na Misukule!
Wewe ndo mjinga tena mkubwa kwenye uzi nimesema hawatoi mchanganuo kama nimelipa deni la 4,500 nilikuwa nadaiwa kwahiyo kodi ya pango sijalipa? Na kama nimelipa mchanganuo upo wapi?Ndio maana nasema Taifa hili likiendekeza Uhuru kwa vijana wapumbavu kama huyu Emmanuel Kasomi hatutafika popote!
Ndio maana China imepiga hatua kubwa sana kwa kuwaminya wapumbavu kama huyu!
Pia soma comments za wachangia wake utaona Askofu Gwajima ni muongo! Nchi hii ina mazombi ambayo wala hayajapigwa chanjo ya CORONA!
Mtu ameenda kununua umeme wa Tshs.5,000/= huko nyuma katika meter yake ya umeme alikuwa na deni la Tshs.4,500/= ! TANESCO wamekata deni lao in advance ( Debt collected = 4,500/=) akabaki na Tshs.500/= ya kununulia umeme ! Amepewa Unit 1.5 sawa na Tshs.500/= lakini anapotosha hapa eti amepewa Unit 1.5 kwa Tshs.5,000/= na mazombi wenzake wala hawashtuki!
Halafu huyu mpumbavu unaweza kukuta eti alipita Chuo!
Nchi hii inahitaji huruma ya Mwenyezi Mungu kwani reasoning ya raia wake wengi haina tofauti na Misukule!
Wewe Msukule tambua kua hiyo ni automated system ! Kodi ya jengo kwa maelezo ya Afisa wa TRA ndugu Richard Kayombo itakatwa kwa mwezi na kwenye meter husika ( kama nyumba inazo meter zaidi ya moja),! Hivyo majengo ya kawaida yanayolipa Tshs.12,000/= kwa mwaka yatatozwa Tshs.1,000/= kwa mwezi! Na hiyo kodi haiwezi kuitwa " Debt" !Tambua kuwa umeme unaweza kununua toka TANESCO hata Mara 5 ndani ya mwezi mmoja hivyo si kila ukinunua umeme unakatwa kodi ya majengo!Wewe ndo mjinga tena mkubwa kwenye uzi nimesema hawatoi mchanganuo kama nimelipa deni la 4,500 nilikuwa nadaiwa kwahiyo kodi ya pango sijalipa? Na kama nimelipa mchanganuo upo wapi?
Wewe ndo mjinga unae wapa kifua wengine kufanya haya mjinga sana
Wamekukata kodi ya mwezi July an August ambapo jumla ni Tshs 2000 ndomana umepata units za Tshs 3000Mimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
Hata hiyo 3,000/= bado nimekatwa EWURA, REA, VATWamekukata kodi ya mwezi July an August ambapo jumla ni Tshs 2000 ndomana umepata units za Tshs 3000
Daah kudaadek kazi ipo mwaka huu 😆😆😆Hata hiyo 3,000/= bado nimekatwa EWURA, REA, VAT
Hapo nilipata 8.5 units kwenye 5,000/=Daah kudaadek kazi ipo mwaka huu 😆😆😆
Wamekata kodi ya jengo ya miezi 2 afu kinachobakia ndio pia kinafuata makato ya kawaida afu salio la mwisho ndo unapewa umemeMimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
Si mlisema mtakimbilia NMB kutoa na kutuma pesa? Kwamba serikali ni wajinga eti? 😆😆😆😆Ukistaajabu ya Tanesco utayaona ya NMB
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
TRA is an entity,TANSESCO is legal entity, sasa wewe UMSHANGILIA MBUNGE wako aliyepitisha alafu unamlalamikia anayetekeleza maagizo.Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Kote ni hivyo hivyo tena CRDB walianza mapemaHuko NMB sipo labda niwasikilizie hawa CRDB
asee hata mimi nmekatwa buku 2 au ndo mpaka mwezi ujao?Mimi nimetest kununua wa 5,000/=, wamekata 2,000/=, wameandika tu Debt collected, sijaelewa inakuwaje, maana tumeambiwa ni 1,000/= kwa mwezi
Zifilisike kwa ajili ya nini? Hii ni sawa sawa na ile ya kusema mawakala watafunga biashara mara mfumuko wa bei nk.Bank zikianza huo ujinga zitafilisika moja baada ya nyingine wazir nae wa tozo anafurah mapato yaliyopatikan bila kujua watu wengi wametoa pesa zao zilizokuwepo kabla ya tozo hivyo mapato yapatikane mengi ngoja tusubiri wiki nne zijazo