TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

Kuna watu wanauadui wao ukute nishawahi kumushika pabaya pasipo kumufahamu.
Huu uzi wa pili ananitukana ndipo anatoa mchango.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani siku hizi tanesco na luku zao wanakopesha unit za umeme?
 
Kwa akili yako ya matope hapo umeeleza nini sasa ila kuna watu mnamatumizi mabaya ya akili.
Msukule mwenyewe
 
Una bahati sana , Inakuwaje unapata Umeme wa Tsh 500? Mimi mita yangu unaanzia wa Tsh 1000 chini ya hapo sipati.

Kwanini wakukate Tsh 4500 badala ya Tsh 2000 Debt Collected for July and August?
 
Acha tuisome namba kwakweli.
 
Una bahati sana , Inakuwaje unapata Umeme wa Tsh 500? Mimi mita yangu unaanzia wa Tsh 1000 chini ya hapo sipati.

Kwanini wakukate Tsh 4500 badala ya Tsh 2000 Debt Collected for July and August?
Hata mimi wameniweka njia panda acha tuchangie kununua vieti hakuna namna.
 
Nikisema TANESCO na TRA nawalenga hao ulio wakusudia maana hizo ni taasisi zilizo chini yao.
 
tumeambiwa tutazoea tuvumilie hayo maumivu niya mwanzo tu wakati inaingia
 
Tuliambiwa niletee huyu MWANACCM ili nikitaka kupanga maendeleo wapingaji (wapinzani) wasiwe wapingaji
 
Bado na Tozo aka Kodi ya kukanyaga barabara zao za lami inakuja kaa chonjo, hapa kodi tu wewe kama mtu unaweza kuishiwa uwezo wa kufikiri mpaka chanzo kimoja kinakatwa kodi zaidi ya 5 na bado watu wanachekelea tu? kuna shida mahali na wale waliothubutu kusema hawakatwi kodi wameitwa kamati ya Roho mbaya ya Bunge kujieleza, kama wanasiasa wa Tanzania wangekua na kazi na sio kutegemea posho mambo haya ingekua historia, mambo ya ajabu nchi hii ni mengi sana haya angalia Tume ya Uchafuzi eti ilitumia Bilioni zote zile kupitisha watu bila mkupingwa halafu haohao wanashauru kupita bila kupingwa kusiwepo yaani, Tuombe Mungu sana.
 
Ngoja tusubiri kila aina ya tozo na hapo 2025 wanatufunga tena goli la mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…