B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 28, 2023 #1 Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi unapo katika kama hivi. Ingekuwapo namna nani asinge hifadhi japi kwenye ndoo moja ya akiba?
Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi unapo katika kama hivi. Ingekuwapo namna nani asinge hifadhi japi kwenye ndoo moja ya akiba?
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Dec 28, 2023 #2 Wapuuzi TANESCO wanakata makusudi, wakati wa sikukuu umeme upo, zikiisha wanaturudisha kukata
Nyamesocho JF-Expert Member Joined May 5, 2023 Posts 487 Reaction score 1,287 Dec 28, 2023 #3 Hili shirika la kipuuzi sana, over!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 28, 2023 Thread starter #4 Beberu said: Wapuuzi TANESCO wanakata makusudi, wakati wa sikukuu umeme upo, zikiisha wanaturudisha kukata Click to expand... Kwamba una macho siyo? Kama hamna wengine kipara na maharage wajaribiwe nao kwenye kipindi hiki cha mvua.
Beberu said: Wapuuzi TANESCO wanakata makusudi, wakati wa sikukuu umeme upo, zikiisha wanaturudisha kukata Click to expand... Kwamba una macho siyo? Kama hamna wengine kipara na maharage wajaribiwe nao kwenye kipindi hiki cha mvua.
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,726 Reaction score 3,391 Dec 28, 2023 #5 Hata wewe hauli pilau kila siku.
Shukrani A. Ngonyani JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,182 Reaction score 2,015 Dec 28, 2023 #6 Ingekuwa Yuko Makanba kelele zake zisingetosha. Mbona Sasa hamlaumu waziri wa nishati tena kama muda ule wa makamba. Nyie na ukabila wenu utawaua
Ingekuwa Yuko Makanba kelele zake zisingetosha. Mbona Sasa hamlaumu waziri wa nishati tena kama muda ule wa makamba. Nyie na ukabila wenu utawaua
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 28, 2023 Thread starter #7 Wakili wa shetani said: Hata wewe hauli pilau kila siku. Click to expand... Ukimaanisha hatustahili kupata hata tupatao siyo?
Wakili wa shetani said: Hata wewe hauli pilau kila siku. Click to expand... Ukimaanisha hatustahili kupata hata tupatao siyo?