TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

Hakika Mkuu. Tanesco wanasema sio wao huku TRA nao wakisema hawahusiki na kodi ya majengo. Sasa sijui nani anahusika.
Kodi ya majengo ni illegal na wizi wa mchana kweupe.Na kama TANESCO na TRA wamesema hawahusikI, lakini TANESCO ndio wanaoikusanya,lazima wanajua anayechukua hizo hela ni nani.So wakuwashulikia sisi kama Wananchi ni TANESCO.So they must come out of the closet and tell us who our thief is.Tanzania,dah,sikuweza amini hata siku moja our beloved country would come down to this.This is outright con.
 
Back
Top Bottom