TANESCO ni adui Mkubwa wa uwekezaji sekta Binafsi

Awa ndugu zetu ni wabinafsi mno.... Imagine kuna maeneo yao awana mgao kabisa....!
 
Na maji ya mvua hizi zinazo nyesha yana kwepa mabwawa na kupinda kona kuelekea kwenye mito inayo elekea baharini.

Yaani Daah jamaa sijui wanatuonaje yaani........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…