ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Nov 26, 2023 #21 Adui namba moja wa ukuaji wa uchumi Tanzania, upo sahihi 100%✅️
Oxx JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 896 Reaction score 1,946 Nov 26, 2023 #22 Awa ndugu zetu ni wabinafsi mno.... Imagine kuna maeneo yao awana mgao kabisa....!
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Nov 26, 2023 #23 Na maji ya mvua hizi zinazo nyesha yana kwepa mabwawa na kupinda kona kuelekea kwenye mito inayo elekea baharini. Yaani Daah jamaa sijui wanatuonaje yaani........
Na maji ya mvua hizi zinazo nyesha yana kwepa mabwawa na kupinda kona kuelekea kwenye mito inayo elekea baharini. Yaani Daah jamaa sijui wanatuonaje yaani........
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Nov 26, 2023 Thread starter #24 ERoni said: Adui namba moja wa ukuaji wa uchumi Tanzania, upo sahihi 100%✅️ Click to expand... Hatari sana
ERoni said: Adui namba moja wa ukuaji wa uchumi Tanzania, upo sahihi 100%✅️ Click to expand... Hatari sana