TANESCO: Nimenunua Luku mkanikata sh. 1,500 as DEBT COLLECTED , inatoka wapi na sijawahi kopa toka kwenu??

TANESCO: Nimenunua Luku mkanikata sh. 1,500 as DEBT COLLECTED , inatoka wapi na sijawahi kopa toka kwenu??

Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Hela ya Kodi ya nyumba imepanda kutoka 1000 mpk 1500. Fuatilia uone.
 
Halafu mwisho wa siku unaambiwa kuna migogoro ya ardhi ya muda mrefu.
Anayegawa au kupangusha ardhi ni serikali.na anayekuja kusuruhisha migogoro isiyoisha ni yeye.
Si tutii mamlaka kama quran inavyosema ila viongozi nina amini wanaonaga aibu kwa mabaya waliyotutendea wakistaafu,mfano barabara ya msoga haijamaliza miaka 10 wameona bora waijenge tena sababu ya kuwa chini ya kiwango.ila hizi nyengine wanaishia kuona aibu moyoni.kodi mmetumia,sekta husika haija kuwa na ufanisi.
 
Kwa kodi ya jengo wamerahisisha mkuu ilikuwa haieleweki afali hata hivi.
Wengine tunaomba hata ya ARDHI wafanye hivi tukilipa maji iwemo ndani
Kweli kabisa maana wakati ule unaenda kulipa unakaa mafoleni mara sijui mtandao uko chini...
Sahvi hawa wangerekebisha tu mfumo wao wa ulipaji ukae vizuri tu

Ova
 
Hio ni Luku mpya ? au Majengo ulilipia kwa njia nyingine kama sivyo na unashangaa na haujawahi kukatwa huenda kuna kodi ya Jengo ya miezi kadhaa umelifisadi Taifa....; Sio kwamba nakulaumu sababu hata sisi tunaolipa sioni value for money...
 
kodi ya jengo uswazi per se?
 
Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
hiyo 1500 wanakata kila tar 1 ..kodi ya jengo
 
kodi ya jengo uswazi per se?
Kwamba uswazi hakuna majengo ?

Kama kodi kweli zingekuwa zinajenga nchi hakuna system nzuri ya collection kama hii; Assumption ni kwamba ukiwa na luku basi lazima una jengo; ukiwa na jengo basi kwa sheria na taratibu kuna kodi ya Jengo; hata kama Jengo sio lako ni la mwenyenye nyumba isiwe issue mwisho wa mwaka kwenye malipo yako kwake wewe kata 1,500 x 12 = 18,000/=
 
Back
Top Bottom