Hela ya Kodi ya nyumba imepanda kutoka 1000 mpk 1500. Fuatilia uone.Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela ya Kodi ya nyumba imepanda kutoka 1000 mpk 1500. Fuatilia uone.Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Kodi ya jengo hiyo mkuuNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Kweli kabisa maana wakati ule unaenda kulipa unakaa mafoleni mara sijui mtandao uko chini...Kwa kodi ya jengo wamerahisisha mkuu ilikuwa haieleweki afali hata hivi.
Wengine tunaomba hata ya ARDHI wafanye hivi tukilipa maji iwemo ndani
Mwanzilishi wa hiyo kodi/tozo ni yule rais wa mawe nchini. Huyo ushungi huwa anasikiliza tu na kukubali kila anachoambiwa na huyo jamaa.Huyu ushungi alaaniwe na uzao wake
Mkuu mrangi hapo ungeweka upigajiKweli kabisa maana wakati ule unaenda kulipa unakaa mafoleni mara sijui mtandao uko chini...
Sahvi hawa wangerekebisha tu mfumo wao wa ulipaji ukae vizuri tu
Ova
😂 😂 😂 we jamaa!Kodi inafanya kazi ya kusafri tu nchi za nje kwa wajomba zake arabuni. Huyu hafai, bure kabisa
Mbona mimi nakatwa 2000/Hiyo ni kodi ya majengo ambayo hukatwa kila mwezi automatically, zamani ilikuwa 1,000/= imepanda hadi 1,500/=
kodi ya jengo uswazi per se?Hio ni Luku mpya ? au Majengo ulilipia kwa njia nyingine kama sivyo na unashangaa na haujawahi kukatwa huenda kuna kodi ya Jengo ya miezi kadhaa umelifisadi Taifa....; Sio kwamba nakulaumu sababu hata sisi tunaolipa sioni value for money...
hiyo 1500 wanakata kila tar 1 ..kodi ya jengoNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Kwamba uswazi hakuna majengo ?kodi ya jengo uswazi per se?
jengo lipi? kibanda?Kodi ya jengo hiyo mkuu
Ova
Kuna kile kijamaa kifupi cha EWURA kinafutuka tu.Na 1% ya Ewura
Kilaaniwe na uzao wakeKuna kile kijamaa kifupi cha EWURA kinafutuka tu.
kuna vibandaKwamba uswazi hakuna majengo ?
Bunge lilipiga meza kupitishaaaShida kwa wasio na nyumba wanaumizwa