mkadiriaji majenzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 260
- 569
ushamlipia mwenye nyumba KodiNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushamlipia mwenye nyumba KodiNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
unaumizwa kwa 1,500?Shida kwa wasio na nyumba wanaumizwa
Kabla haujavutiwa umeme lazima Tanesco wapime na kuona kwamba ni sawa kwenye hilo Jengo lako kuvuta Umeme (kwahio according to Taarifa za Tanesco hilo ni Jengo) na kama huko kitaa mna mtindo wa kupeana umeme kutoka main meter ninakupa Taarifa tu huenda huo ni Ufisadi mnafanya (ingawa kama nilivyosema hata kwa tunaolipa sioni value for money, kwahio all the best mkuu - kama vipi unataka ku-save hizo 1,500 vuta solar)kuna vibanda
Issue ni maelezo ni za nini. Nimepata jibu ambalo sina manma ya kulibadilisha, kumbe ni TOZO!Kabla haujavutiwa umeme lazima Tanesco wapime na kuona kwamba ni sawa kwenye hilo Jengo lako kuvuta Umeme (kwahio according to Taarifa za Tanesco hilo ni Jengo) na kama huko kitaa mna mtindo wa kupeana umeme kutoka main meter ninakupa Taarifa tu huenda huo ni Ufisadi mnafanya (ingawa kama nilivyosema hata kwa tunaolipa sioni value for money, kwahio all the best mkuu - kama vipi unataka ku-save hizo 1,500 vuta solar)
Tulia tulia bado sana utanyonywa hadi damuNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Naam na TOZO hio ina muda mrefu sana (kwanza ilikuwa 1K sasa hivi ni 1.5K); kwahio kama unashangaa sasa hivi na haujawahi kukatwa basi huenda ulikuwa huchunguzi risiti yako au kuna makosa yalifanyika hence usijeshangaa siku zijazo ukapigwa zaidiIssue ni maelezo ni za nini. Nimepata jibu ambalo sina manma ya kulibadilisha, kumbe ni TOZO!
You are right! Nadhani nilikuwa sijachunguza risiti zangu. Let me recollect my memories from the receipts! asante kwa maelezoNaam na TOZO hio ina muda mrefu sana (kwanza ilikuwa 1K sasa hivi ni 1.5K); kwahio kama unashangaa sasa hivi na haujawahi kukatwa basi huenda ulikuwa huchunguzi risiti yako au kuna makosa yalifanyika hence usijeshangaa siku zijazo ukapigwa zaidi
Mwakani inaongezeka hadi 2000Hiyo ni kodi ya majengo ambayo hukatwa kila mwezi automatically, zamani ilikuwa 1,000/= imepanda hadi 1,500/=
Sasa huyo mpangaji ananunua umeme kwa kutumia namba ya mita, sasa tanesco watajuaje kwamba anayenunua siyo mwenye nyumba?Hivi suluhisho la hili deni kukatwa kwa mwenye nyumba pasi kumkata mpangaji ilishindikana kabisa?
Mwenye nyumba anatakiwa apeleke taarifa TANESCO kuhusu mita ipi ilipie nyumba yake.Kodi ya nyumba ya mwezi.Siku hizi wanakata Kila Luku
Kwahiyo unaona haki mpangaji kulipa kadi ya jengo la mwenye nyumba?Sasa huyo mpangaji ananunua umeme kwa kutumia namba ya mita, sasa tanesco watajuaje kwamba anayenunua siyo mwenye nyumba?
Toka july wamefuta hiyo,kila mita inakatwaMwenye nyumba anatakiwa apeleke taarifa TANESCO kuhusu mita ipi ilipie nyumba yake.
Aisee! Basi watangaze hiyo ni kodi ya mita.Toka july wamefuta hiyo,kila mita inakatwa
Kodi ya nyumba ya Luku inamuhusu vipi mpangajiHela ya Kodi ya nyumba imepanda kutoka 1000 mpk 1500. Fuatilia uone.
Shida ya bongo kila mtu kiburi,Mwenye nyumba anatakiwa apeleke taarifa TANESCO kuhusu mita ipi ilipie nyumba yake.
Leo tar 2 dec, Kodi ya jengo. Kila mwezi Wana kata 1500Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Wizi mtupu🤣🤣Hiyo ni kodi ya majengo ambayo hukatwa kila mwezi automatically, zamani ilikuwa 1,000/= imepanda hadi 1,500/=