TANESCO: Nimenunua Luku mkanikata sh. 1,500 as DEBT COLLECTED , inatoka wapi na sijawahi kopa toka kwenu??

kuna vibanda
Kabla haujavutiwa umeme lazima Tanesco wapime na kuona kwamba ni sawa kwenye hilo Jengo lako kuvuta Umeme (kwahio according to Taarifa za Tanesco hilo ni Jengo) na kama huko kitaa mna mtindo wa kupeana umeme kutoka main meter ninakupa Taarifa tu huenda huo ni Ufisadi mnafanya (ingawa kama nilivyosema hata kwa tunaolipa sioni value for money, kwahio all the best mkuu - kama vipi unataka ku-save hizo 1,500 vuta solar)
 
Issue ni maelezo ni za nini. Nimepata jibu ambalo sina manma ya kulibadilisha, kumbe ni TOZO!
 
Naam na TOZO hio ina muda mrefu sana (kwanza ilikuwa 1K sasa hivi ni 1.5K); kwahio kama unashangaa sasa hivi na haujawahi kukatwa basi huenda ulikuwa huchunguzi risiti yako au kuna makosa yalifanyika hence usijeshangaa siku zijazo ukapigwa zaidi
 
Hiyo ni kodi ya mama yenu wa kuupiga mwingi...

Yani selikali ya Samia ni kama kiwete.

Imeacha kuchukua hela kwa ma big fish badala yake imekuja kuchukua vihela kiduchu huku kwa walala hoi
 
Naam na TOZO hio ina muda mrefu sana (kwanza ilikuwa 1K sasa hivi ni 1.5K); kwahio kama unashangaa sasa hivi na haujawahi kukatwa basi huenda ulikuwa huchunguzi risiti yako au kuna makosa yalifanyika hence usijeshangaa siku zijazo ukapigwa zaidi
You are right! Nadhani nilikuwa sijachunguza risiti zangu. Let me recollect my memories from the receipts! asante kwa maelezo
 
Hivi suluhisho la hili deni kukatwa kwa mwenye nyumba pasi kumkata mpangaji ilishindikana kabisa?
Sasa huyo mpangaji ananunua umeme kwa kutumia namba ya mita, sasa tanesco watajuaje kwamba anayenunua siyo mwenye nyumba?
 
Kwahiyo unaona haki mpangaji kulipa kadi ya jengo la mwenye nyumba?
 
Jamaan tumbo linaniuma skuu ya nne sijapata choo hata kutoa upepo nkra kitu kdogo linajaa
 
Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Leo tar 2 dec, Kodi ya jengo. Kila mwezi Wana kata 1500
Usiponunua miezi mfano 6 siku ukinunua Wana kata 9000.
 
Back
Top Bottom