TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

Watakuja kusemaโ€ leo tunauzima umeme, na ninyi mnasafiri na treni ya umeme, hamtasafiri, na biwanda havitafanya kaziโ€

Mawazo ya JPM. Hakika Mungu ampumzishe kwa amani huko aloko.[emoji120]
 
Unategemea nini kutoka kwenye nchi ambayo 95% ya walimu wake ni failures?

Tanzanians are uneducated fools from uneducated schools.
Hii point ina mashiko.
Kuna mama mmoja wa kisomali alipanga huku mbezi Beach, alikataa watoto wake kusoma shule za hapa bongo akisema "hamna elimu/elimu ya chini "
Sikumuelewa kwa wakati ule.
 
Shida yetu moja watanzania uwezo.

Leo JF nimesoma mada mbili za concern kutoka Kenya, moja ya viongozi wa dini kuwa na wasiwasi na uwekezaji wa Adani; ya pili kuna mtu aliweka article ya kizungu ya possibilities za uwekezaji kuongeza gharama za bei umeme, Kenya.

Sasa mimi binafsi sijui hayo maswali husika hapo juu nimeyauliza kwenye mada gani; huko serikalini wanajua madhara ya huyo taahira Kafulila anayo ropoka anajua strategy implication zake za shirika na bei ya umeme.

Shughuli ya kwenda nchi ahitaji watu wa mzaha. Nchi sio maskini kwa bahati mbaya ni kwa sababu ya uwezo watu wanaoiendesha na ufisadi uliokubuhu.

Kazi ya kubadilisha huo, utaratibu sio ndogo; if you are knowledgeable on what it takes.

Wengine tunawapa ukweli tu. Kwa uongozi wa sasa nchi haichomoki.
 
Inapendeza, ila kwenye bei na gharama serikali iwe makini...
Isiwe kama kwenye mafuta...


Cc: Mahondaw
 
Jambo jema huwa halihitaji nguvu kubwa kuwaelezea watu.

Likija linajieleza lenyewe.
 
Nyie huyu siye huyu adani aliyekimbizwe kenya akinyemelea JKIA? Umeme umetengamaa ndiyo wezi wanakuja? NOOO
 
Ndgu zangu ai kwamba ndo mambo ya Richmond,Dowans nฤ akina Tegeta Escro ndo wanakuja kinyumenyume tena?.
Nina mashaka makubwa sana,mda hauwezi ongopa
Kweli mkuu kuna yule mhindi ADAN jambazi la kimataifa alifukuzwa JKIA huko kenya sasa yuko Tanzania anataka kufaidi umeme wetu baada ya kutengamaa!! SAAMIA SAMIA SAMIA utatupata siku si nyingi!
 
Huyu bibi ameaxhia Bandari sasa anaachia forbidden fruit ๐Ÿ‘ (TANESCO YETU)
Baada ya umeme kutengamaa sasa tunapigwa na wageni! kha. Fuatilieni Mhindi mmoja anaitwa ADANi kafukuzwa kenya kuinyemelea JKIA ndiyo yupo hapa!!
 
Nikiwa Mtwara enzi za JK mtandao wa umeme wa gesi ulitandazwa Mtwara na Lindi kwa makubaliano kwamba umeme huo utasambazwa na kuuzwa na kampuni binafsi lililojenga mtandao huo.TANESCO walipochelewa kuwakabidhi ofisi za Mkoa wa Mtwara na Lindi, hilo kampuni lililalamika kwa sauti kubwa sana.TANESCO wakawakabidhi na wafanyakazi wao wote wakahamishiwa vituo vingine nje ya Mikoa hiyo.Ile kampuni haikufanikiwa kutekeleza hata shughuli moja.Ikanyoosha mikono na kuwarudishia TANESCO ofisi zote ndani ya kipindi cha chini ya mwezi mmoja.Sasa najiuliza: Je,Bw.Kafulila,Serikali imejiandaaje kutokujirudia kwa changamoto kama hiyo iliyotokea huko Mtwara na Lindi?.
 
Watu binafsi wanaweza peleka umeme kijijini kwa tsh 27000?
Hata kama ni gharama kiasi gani wafanye tu kuliko longolongo za TANESCO, Hata kama ni kwa milioni wafanye tu lakini ili mradi tu pasiwe na longolongo. Tanesco mbona wao wameshindwa kwa hiyo 27?
 
Hata kama ni gharama kiasi gani wafanye tu kuliko longolongo za TANESCO, Hata kama ni kwa milioni wafanye tu lakini ili mradi tu pasiwe na longolongo. Tanesco mbona wao wameshindwa kwa hiyo 27?
Kwa kweli sie uluhala twihela
 
Kazi ni nzuri sana ya PPP
 
Safi sana Waziri Dotto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ