TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

Watakuja kusema” leo tunauzima umeme, na ninyi mnasafiri na treni ya umeme, hamtasafiri, na biwanda havitafanya kazi”

Mawazo ya JPM. Hakika Mungu ampumzishe kwa amani huko aloko.[emoji120]
 
Unategemea nini kutoka kwenye nchi ambayo 95% ya walimu wake ni failures?

Tanzanians are uneducated fools from uneducated schools.
Hii point ina mashiko.
Kuna mama mmoja wa kisomali alipanga huku mbezi Beach, alikataa watoto wake kusoma shule za hapa bongo akisema "hamna elimu/elimu ya chini "
Sikumuelewa kwa wakati ule.
 
Shida yetu moja watanzania uwezo.

Leo JF nimesoma mada mbili za concern kutoka Kenya, moja ya viongozi wa dini kuwa na wasiwasi na uwekezaji wa Adani; ya pili kuna mtu aliweka article ya kizungu ya possibilities za uwekezaji kuongeza gharama za bei umeme, Kenya.

Sasa mimi binafsi sijui hayo maswali husika hapo juu nimeyauliza kwenye mada gani; huko serikalini wanajua madhara ya huyo taahira Kafulila anayo ropoka anajua strategy implication zake za shirika na bei ya umeme.

Shughuli ya kwenda nchi ahitaji watu wa mzaha. Nchi sio maskini kwa bahati mbaya ni kwa sababu ya uwezo watu wanaoiendesha na ufisadi uliokubuhu.

Kazi ya kubadilisha huo, utaratibu sio ndogo; if you are knowledgeable on what it takes.

Wengine tunawapa ukweli tu. Kwa uongozi wa sasa nchi haichomoki.
 
Inapendeza, ila kwenye bei na gharama serikali iwe makini...
Isiwe kama kwenye mafuta...

Cc: Mahondaw
 
Miundo mbinu ipi, hao watajenga miundo mbinu yao. Umeme una miundo mbinu ya aina 3, kuzalisha, kusafirisha na kusambaza. Kusambaza ndio miundo mbinu rahisi. Serikali ndio inazalisha kutokana na vyanzo kadhaa, ndio inasafirisha kwa gharama kubwa sana, hao wawekezaji wanasambaza tu tu kwenye makazi yetu.
Jambo jema huwa halihitaji nguvu kubwa kuwaelezea watu.

Likija linajieleza lenyewe.
 
====
The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion.

If successful, these will be the first ever Public-Private Partnership (PPP) power transmission projects in Tanzania's history.

Power transmission is currently being done solely by the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO).

Involvement of the private sector in the construction of high-voltage power lines is a new phenomenon in Tanzania.

David Kafulila, the Executive Director of Tanzania's PPP Centre, said the government is exploring best practices from countries that have experience in PPP projects in power transmission lines in Latin America and Asia.

"There are success stories in this area (PPPs in power transmission projects) in countries such as India, Peru, Chile, Brazil and Philippines," he said.

At least two foreign companies have expressed interest to the PPP Centre to invest in power transmission lines.

"The mandate of the PPP Centre is to coordinate and scrutinise investments proposals with public-private partnerships," he said.

Tanzania faces key challenges in implementing PPPs in transmission lines, including regulatory, legal, and institutional barriers and limited skills in key government entities.

There is need for technical and capacity building support for the government to adopt PPPs in the energy sector.

Some development partners have been pushing for this PPP agenda in power transmission for all East African countries and is currently working with kenya and Uganda, according to Kafulila.

"Experience from energy economists suggests that the energy sector can be self-financed if tariffs are commercially set. Tanzania is charging the lowest electricity tariffs in East Africa. This is one reason why Tanzania is leading sub-Saharan African countries in having an inclusive economy," Kafulila noted.

The Tanzanian government announced in 2022 that it plans to invest $1.9 billion to upgrade the country's electricity transmission infrastructure.

Tanzania currently has a surplus of power, yet parts of the country do not have access to electricity.

The government also cannot export the surplus electricity to energy-starved neighbouring countries due to inadequate power transmission networks.

The involvement of the private sector in power transmission projects is expected to bring significant economic benefits to the country.

These include improvements in access, quality and reliability of electricity across the country and development of regional power trade.

The PPPs are also expected to reduce power transmission losses and could further cut the cost of electricity to consumers by absorbing the capital cost of transmission lines.

In summary:

October 5, 2024

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗲𝘆𝗲𝘀 𝗳𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗣𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰-𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗻𝗲𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘁𝗿𝗮𝗻𝘀𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗼𝗻 𝗽𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁s

◾The PPP Centre is in talks with foreign investor companies for two power transmission projects
.
◾Power transmission is currently the sole responsibility of state power utility TANESCO

◾Involvement of the private sector in construction of high-voltage power lines will free up government resources for other projects and expand access to electricity

𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dar es Salaam
Nyie huyu siye huyu adani aliyekimbizwe kenya akinyemelea JKIA? Umeme umetengamaa ndiyo wezi wanakuja? NOOO
 
Ndgu zangu ai kwamba ndo mambo ya Richmond,Dowans nā akina Tegeta Escro ndo wanakuja kinyumenyume tena?.
Nina mashaka makubwa sana,mda hauwezi ongopa
Kweli mkuu kuna yule mhindi ADAN jambazi la kimataifa alifukuzwa JKIA huko kenya sasa yuko Tanzania anataka kufaidi umeme wetu baada ya kutengamaa!! SAAMIA SAMIA SAMIA utatupata siku si nyingi!
 
Huyu bibi ameaxhia Bandari sasa anaachia forbidden fruit 🍑 (TANESCO YETU)
Baada ya umeme kutengamaa sasa tunapigwa na wageni! kha. Fuatilieni Mhindi mmoja anaitwa ADANi kafukuzwa kenya kuinyemelea JKIA ndiyo yupo hapa!!
 
====
The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion.

If successful, these will be the first ever Public-Private Partnership (PPP) power transmission projects in Tanzania's history.

Power transmission is currently being done solely by the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO).

Involvement of the private sector in the construction of high-voltage power lines is a new phenomenon in Tanzania.

David Kafulila, the Executive Director of Tanzania's PPP Centre, said the government is exploring best practices from countries that have experience in PPP projects in power transmission lines in Latin America and Asia.

"There are success stories in this area (PPPs in power transmission projects) in countries such as India, Peru, Chile, Brazil and Philippines," he said.

At least two foreign companies have expressed interest to the PPP Centre to invest in power transmission lines.

"The mandate of the PPP Centre is to coordinate and scrutinise investments proposals with public-private partnerships," he said.

Tanzania faces key challenges in implementing PPPs in transmission lines, including regulatory, legal, and institutional barriers and limited skills in key government entities.

There is need for technical and capacity building support for the government to adopt PPPs in the energy sector.

Some development partners have been pushing for this PPP agenda in power transmission for all East African countries and is currently working with kenya and Uganda, according to Kafulila.

"Experience from energy economists suggests that the energy sector can be self-financed if tariffs are commercially set. Tanzania is charging the lowest electricity tariffs in East Africa. This is one reason why Tanzania is leading sub-Saharan African countries in having an inclusive economy," Kafulila noted.

The Tanzanian government announced in 2022 that it plans to invest $1.9 billion to upgrade the country's electricity transmission infrastructure.

Tanzania currently has a surplus of power, yet parts of the country do not have access to electricity.

The government also cannot export the surplus electricity to energy-starved neighbouring countries due to inadequate power transmission networks.

The involvement of the private sector in power transmission projects is expected to bring significant economic benefits to the country.

These include improvements in access, quality and reliability of electricity across the country and development of regional power trade.

The PPPs are also expected to reduce power transmission losses and could further cut the cost of electricity to consumers by absorbing the capital cost of transmission lines.

In summary:

October 5, 2024

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗲𝘆𝗲𝘀 𝗳𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗣𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰-𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗻𝗲𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘁𝗿𝗮𝗻𝘀𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗼𝗻 𝗽𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁s

◾The PPP Centre is in talks with foreign investor companies for two power transmission projects
.
◾Power transmission is currently the sole responsibility of state power utility TANESCO

◾Involvement of the private sector in construction of high-voltage power lines will free up government resources for other projects and expand access to electricity

𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dar es Salaam
Nikiwa Mtwara enzi za JK mtandao wa umeme wa gesi ulitandazwa Mtwara na Lindi kwa makubaliano kwamba umeme huo utasambazwa na kuuzwa na kampuni binafsi lililojenga mtandao huo.TANESCO walipochelewa kuwakabidhi ofisi za Mkoa wa Mtwara na Lindi, hilo kampuni lililalamika kwa sauti kubwa sana.TANESCO wakawakabidhi na wafanyakazi wao wote wakahamishiwa vituo vingine nje ya Mikoa hiyo.Ile kampuni haikufanikiwa kutekeleza hata shughuli moja.Ikanyoosha mikono na kuwarudishia TANESCO ofisi zote ndani ya kipindi cha chini ya mwezi mmoja.Sasa najiuliza: Je,Bw.Kafulila,Serikali imejiandaaje kutokujirudia kwa changamoto kama hiyo iliyotokea huko Mtwara na Lindi?.
 
Watu binafsi wanaweza peleka umeme kijijini kwa tsh 27000?
Hata kama ni gharama kiasi gani wafanye tu kuliko longolongo za TANESCO, Hata kama ni kwa milioni wafanye tu lakini ili mradi tu pasiwe na longolongo. Tanesco mbona wao wameshindwa kwa hiyo 27?
 
Kwa kweli sie uluhala twihela
 
====
The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion.

If successful, these will be the first ever Public-Private Partnership (PPP) power transmission projects in Tanzania's history.

Power transmission is currently being done solely by the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO).

Involvement of the private sector in the construction of high-voltage power lines is a new phenomenon in Tanzania.

David Kafulila, the Executive Director of Tanzania's PPP Centre, said the government is exploring best practices from countries that have experience in PPP projects in power transmission lines in Latin America and Asia.

"There are success stories in this area (PPPs in power transmission projects) in countries such as India, Peru, Chile, Brazil and Philippines," he said.

At least two foreign companies have expressed interest to the PPP Centre to invest in power transmission lines.

"The mandate of the PPP Centre is to coordinate and scrutinise investments proposals with public-private partnerships," he said.

Tanzania faces key challenges in implementing PPPs in transmission lines, including regulatory, legal, and institutional barriers and limited skills in key government entities.

There is need for technical and capacity building support for the government to adopt PPPs in the energy sector.

Some development partners have been pushing for this PPP agenda in power transmission for all East African countries and is currently working with kenya and Uganda, according to Kafulila.

"Experience from energy economists suggests that the energy sector can be self-financed if tariffs are commercially set. Tanzania is charging the lowest electricity tariffs in East Africa. This is one reason why Tanzania is leading sub-Saharan African countries in having an inclusive economy," Kafulila noted.

The Tanzanian government announced in 2022 that it plans to invest $1.9 billion to upgrade the country's electricity transmission infrastructure.

Tanzania currently has a surplus of power, yet parts of the country do not have access to electricity.

The government also cannot export the surplus electricity to energy-starved neighbouring countries due to inadequate power transmission networks.

The involvement of the private sector in power transmission projects is expected to bring significant economic benefits to the country.

These include improvements in access, quality and reliability of electricity across the country and development of regional power trade.

The PPPs are also expected to reduce power transmission losses and could further cut the cost of electricity to consumers by absorbing the capital cost of transmission lines.

In summary:

October 5, 2024

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗲𝘆𝗲𝘀 𝗳𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗣𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰-𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗻𝗲𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘁𝗿𝗮𝗻𝘀𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗼𝗻 𝗽𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁s

◾The PPP Centre is in talks with foreign investor companies for two power transmission projects
.
◾Power transmission is currently the sole responsibility of state power utility TANESCO

◾Involvement of the private sector in construction of high-voltage power lines will free up government resources for other projects and expand access to electricity

𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dar es Salaam
Kazi ni nzuri sana ya PPP
 
Safi sana Waziri Dotto
 
Back
Top Bottom