FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Upo kizamani sana.Kuna miradi ya kimkakati ambayo faida sio kipaumbele. Maji umeme elimu ulinzi. Huwezi sema ppp kwenye hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kizamani sana.Kuna miradi ya kimkakati ambayo faida sio kipaumbele. Maji umeme elimu ulinzi. Huwezi sema ppp kwenye hiyo.
Mmeshakula mlungula. Hamna sababu yeyote kwa sasa. Hebu niambie anakuja kufanya nini kwa sasa. Miundo.binu iliyopo ni kuibadili tu. Na inahitaji wakandarasi sio strategic ya ofisini. Hata siku moja serikali haiwezi fanya jambo ili ipate faida. Hiyo ni fallacy..Upo kizamani sana.
Sio kwenye kila kitu. Maji yako nyumbani huko Canada unalipa kwa city au kampuni?Nani alikudanganya?
Serikali inatakiwa iwe wasimamizi tu. Kazi zinafanywa na raia, kama hawawezi na wamewzidi wizi, uvivu, uzembe na ujinga. wanapewa Raia wa kigeni wanaoweza.
Usilinganishe Canada na Tanzania wu nchi nyingine yoyote duniani.Sio kwenye kila kitu. Maji yako nyumbani huko Canada unalipa kwa city au kampuni?
Vishoka huwa hawapo kwenye power transmission ,watakufa wao huwa wanakimbilia distribution sideVipi survival ya vishoka imekaaje
Hoja nzuri japo PPP ipo tangu miaka 14 iliyopitaKafulila toa Elimu kwa raia kwanza waelewe, vinginevyo they will fight back.
Ukisikia ubia kwa tanzania ni kwamba sekta binafsi anakula uwekezaji wa umma wala hawekezi cha maana. Yeye anakula faida mbia serikali ndio anapata hasara na kubaki na madeni. usifikiri kina Adani hawa wahindi wanakua matajiri wakubwa duniani bure. Wanakuibieni kushirikiana na vigogo walafi.Mkuu hebu nipe mradi mmoja tu ambao ulifanywa na Serikali ya Awamu ya nne ulio na manufaa kwa watz. Gesi imechukuliwa na wazungu kupitia mradi wa BOT (Build, Operate & Transfer) yaani wata-operate kwa miaka 50 then ndio wa-transfer kwenda serikalini kibaya zaidi hakuna watz walioandaliwa ku-takeover huo mradi hiyo inatokana na ubovu wa mikataba iliyoingiwa kati ya serikali na huyo mwekezaji.
Ucha kupotosha ndg yanguUkisikia ubia kwa tanzania ni kwamba sekta binafsi anakula uwekezaji wa umma wala hawekezi cha maana. Yeye anakula faida mbia serikali ndio anapata hasara na kubaki na madeni. usifikiri kina Adani hawa wahindi wanakua matajiri wakubwa duniani bure. Wanakuibieni kushirikiana na vigogo walafi.
Usilinganishe Canada na Tanzania wu nchi nyingine yoyote duniani.
Canada serikali haiendeshi kitu chochote. Vyote vinaendeshwa na mashirika binafsi. Hata umeme unafuliwa na kusambazwana mashirika binafsi.
Bili zote huku unalipa bank. Bank zote ni binafsi.
Kwani uliambiwa hizo kampuni zitapokea bili zako za umeme huko Tanzania?
Kwanini mnapenda ku complicate mambo kwa kufikiri yasiyokuwepo?
Watanzania hawafahamu mambo mengiKuna tofauti ya uendeshaji na umiliki. Nakubaliana na uendeshaji binafsi lakini umiliki wa pipe za maji ya nyumbani, umeme wa manyumbani yaani ile path ni muhimu kumilikiwa na serikali au manispaa wengi hawafahamu hilo hata US na Canada ni hivyo
Daah aisee unafungua codes balaaUnategemea nini kutoka kwenye nchi ambayo 95% ya walimu wake ni failures?
Tanzanians are uneducated fools from uneducated schools.
Gharama ya umeme itaamuliwa na mamlaka za ndaniHii Nchi wasitufanye Wajinga.gharama ya umeme itapanda sana.
Tanesco auze kwa Msambazaji,ili apate faida atapandisha bei.
Atakaeumia ni Mlaji wa mwisho ambae ni mwana nchi.
Hivi una akili wewe?Tangu lini gharama au bei za bidhaa za Tanzania zikaamuliwa na mamlaka za ndani?Gharama ya umeme itaamuliwa na mamlaka za ndani
EWURA ina kazi Gani?Hivi una akili wewe?Tangu lini gharama au bei za bidhaa za Tanzania zikaamuliwa na mamlaka za ndani?
EWURA hata bei ya gesi asilia wameahindwa kupunguza,Achana na Petrol na mafuta ya taa.EWURA ina kazi Gani?
Akili Gani ?EWURA hata bei ya gesi asilia wameahindwa kupunguza,Achana na Petrol na mafuta ya taa.
Ndio maana nikakuuliza una akili wewe.
Unazo za kuvuka barabara na kuchaji simu?Akili Gani ?
Hizi kama zako Sina