TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

Uhuni mtupu.

Yaani miundombinu ijengwe kwa jasho na damu la mikopo halafu waje wezi kudandia treni na kujizolea faida.

Acheni uhuni basi kwa mali za nchi.
Huyu bibi ameaxhia Bandari sasa anaachia forbidden fruit ๐Ÿ‘ (TANESCO YETU)
 
TANESCO toka Lin wakashindwankusambaza umeme wakiwezeahwa na kusimamiwa?

Hiyo secta binafsi itafanya kazi nzuri bila kusimamiwa?

Nani atakae isimamia, yule anaeshindwa kulisimamia au hawezeshwi vyema au watajisimamia wenyewe?

Dili za watu hapo zipo wapi?

Ubinafsishaji bila usimamizi wa kimkataba hamna lolotea tija linaloweza kufanywa.
 


Tanzania is charging the lowest electricity tariffs in East Africa. This is one reason why Tanzania is leading sub-Saharan African countries in having an inclusive economy," Kafulila noted.

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘† Kafulila ni kuwa nae makini sana, huwa muongo na ana cooked data nyingi sana as a base or back up to support his agenda..!!! Late President Magufuli alisema ukweli na wazi kuwa umeme hapa Tz ni ghali sana sana ndio maana hatuwezi endesha viwanda vyetu kwa umeme kwani vitapata hasara au bidhaa zake zitakuwa ghali, na President Magufuli alisema Umeme wa JNHPP ukiwa tayari bei ingeshuka..!!

Ethiopia ndio ina lowest electricity tariffs in East Africa not Tanzania..!!

Alafu uwekezaji wa Tanesco ni kuwa makini sana kwani bei inaweza panda zaidi ya hii tunalipa which is very very expensive, nashangaa Kafulila anasema bei yetu ni ndogo, sio ukweli hata kidogo, sielewi kwanini Kafulila anakuwa muongo hivi
 
NI wazo zuri lakini they should be visonary, bei ya umeme lazima ibaki shindani kwa mda mrefu kwa manufaa ya uchumi wa nchi na mazingira uwepo wa PPP uongeze ufanisi na usifanye u.meme kuwa ghali.
Competition might lower the price. Kama bei itapanda ila umeme ni wa uhakika then trade off yake ni viable. Unafuu unafuu ndio unaoleta quality mbovu, tuangalie zaidi stability na accessibility obviously na bei itashuka maana operating cost zitapungua na Tanesco ita focus kwenye production tu
 
Uhuni mtupu.

Yaani miundombinu ijengwe kwa jasho na damu la mikopo halafu waje wezi kudandia treni na kujizolea faida.

Acheni uhuni basi kwa mali za nchi.
Kwani hao wasambazaji watatumia Bure hiyo miundombinu?
 
Hapa kuna chenga lฤ macho,ukianza kudadavua.
Muarabu siku hizi yupo kwenye biashara ya mpira,utalii,bandali nk.
Kwani wanaona kuna anguko lฤ biashara ya mafuta,hivo wanasaka nchi ambazo ni wavivu kuendesha mambo yao mfano umeme,madini,bandari na mbuga za wanyama kwa lengo la tahadhari ili kusaidia nchi zao nฤ familia zao.
Tanzania kama nchi tuchukue tahadhari.
 
Namwona Samia juu zaidi katika historia
 
Acha kupotosha kiongozi
 
Serikali inabaki kamq regulatory authority hivyo bei itasalia chini wakati wote
Hata wakati private school zinaanzishwa tuliaambiwa hivyo hivyo, leo hii ukiziangalia shule za serekali ni mbaya sana ukilinganisha na za private,sema kipindi hicho ulikua bado hujazaliwa!!
 
Miradi ya kupiga pesa, ikikaribia uchaguzi, lazima miradi ibuniwe watu wapige pesa ya uchaguzi
 
Ka
Kazi mnayojua kwa ufanisi ni kupandisha gharama za umeme tu.
 
NI wazo zuri lakini they should be visonary, bei ya umeme lazima ibaki shindani kwa mda mrefu kwa manufaa ya uchumi wa nchi na mazingira uwepo wa PPP uongeze ufanisi na usifanye u.meme kuwa ghali.
Mimi sina imani na kinachoitwa uwekezaji wa nje maana kinachoonekana wanakuja kuvuna uwekezaji unaofanyika na umma. Mara nyingi hawawekezi kufuatana na mkataba na kutokana na hali ya kula rushwa vigogo wanavuna tu bila kuwekeza. Nchi inategemea kutokana na uwekezaji mkubwa wa umma umeme uzalishwe kwa bei nafuu hivyo bei ya umeme lazima ishuke mara dufu. Kafulila wawe makini PPP iwe na faida kwa uchumi vinginevyo kwa haliya kila kigogo kutaka kufaidika binafsi itakua janga. Tunachojua serikali imewekeza sana kwenye usambazaji hadi vijijini isiwe wahindi wajanja wanakuja kuvuna tu.
 
Bei ya umeme ni anasa,99% ya watanzania awatumii umeme kwa kupikia na kuwasha friji 24 hrs,ukija kwenye AC huko ndio aibu watanzania wanaiogopa kama ukoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ