TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

Hii ni sawa na kubinafsisha maji ni ujinga ujinga wa wasio elewa vitu. Serikali ikiruhusu nyaya na nguzo kuwa za binafsi siku wakipandisha bei serikali itafanyaje? Uwekezaji unataakiwa kwenye upatikanaji wa nishati sio usambazaji maana hili ni hitaji la muhimu kama maji huwezi kuweka utumwa kwenye hili. Wakifanya hivi umeme hautakaa kushuka bei hata siku moja
 
Hakuna kwenye serikali asiyeitakia mema nchi yake.

Kwenye hili kakosea huwezi kubinafsisha nguzo za umeme na nyaya za umeme kwa makampuni binafsi maana bei hawataweza kushusha. Wawekeze kwenye upatikanaji na uzalishaji usambazaji ni kitu muhimu kama maji. Hapa ni kuongizwa mkenge
 
Kaa uzitazame macho mwisho mwisho hizo nguzo na nyaya za umeme kama unazipenda sana. Maana muda si mrefu zinaenda Kuwashia umeme wa India.
 
Tunakwenda hatua kumi mbele, baadaye tunarudishwa hatua 200 nyuma. Stupid Tanzanians, mnashindwa kusimamia mali zenu?
 
Kwa Tz sahau, kile tunachokiona kwenye kampuni za simu ndicho kitakachokuwa kwenye umeme, mambo ya cartel hayawezi kuisha
 
Kaa uzitazame macho mwisho mwisho hizo nguzo na nyays za umeme kama. Unazipenda sana.

Muda si mrefu zinaenda Kuwashia umeme wa India.
Comment ya kipumbavu sana toka kwa msomi wa kiwango chako.
 
Kwenye hili kakosea huwezi kubinafsisha nguzo za umeme na nyaya za umeme kwa makampuni binafsi maana bei hawataweza kushusha. Wawekeze kwenye upatikanaji na uzalishaji usambazaji ni kitu muhimu kama maji. Hapa ni kuongizwa mkenge
Kaa uzitazame macho mwisho mwisho hizo nguzo na nyays za umeme kama. Unazipenda sana.

Muda si mrefu zinaenda Kuwashia umeme wa India.
 
Tuliambiwa umeme umefika asilimia 93 sasa asilimia 7 ndio zina kelele za kuuza shirika kwa hiyo trillion 3.3 au ndio juhudi za chukua chako mapema
 
Nawaza wale walikuwa wakipata tenda za TANESCO, sijui itakuaje????
Kweli maono ya muda mrefu ni muhimu.
Maana kila anaekuja huja na lake.
 
Kaa uzitazame macho mwisho mwisho hizo nguzo na nyays za umeme kama. Unazipenda sana.

Muda si mrefu zinaenda Kuwashia umeme wa India.

Serikali ni kazi yake kufanya usambazaji wa shughuli muhimu kama maji na umeme. Huwezi kubinafisisha vitu kama hivi. Yaani maana yake ni kwamba hautaweza kungoa nguzo au nyaya za umeme lakini kama ni mwekezaji wa uzalishaji wa umeme ni rahisi kukata mikataba kama wa IPTL au kampuni kama Songas lakini ni ujinga serikali kuzalisha umeme na kubinafishisha usambazaji hii ni mikataba ya kifisadi hakuna maslahi yeyote. Tusikubali kila kitu kuna uwekezaji mbaya na huu ni uwekezaji mbaya

Wamarekani walikuwa wanasambaza umeme bure Magu akaiba uchaguzi kwa maslahi yake ya kifisadi na kujifanya anapenda Watanzania. Sasa utapenda watanzania kwanini unaiba kura na kuwanyima umeme!
 
Nani alikudanganya?

Serikali inatakiwa iwe wasimamizi tu. Kazi zinafanywa na raia, kama hawawezi na wamewzidi wizi, uvivu, uzembe na ujinga. wanapewa Raia wa kigeni wanaoweza.
 
Hapana hawa wanajenga njia mpya hasa kwenda kuuza umeme nje ya nchi
Lete details sio tu headlines.
Miradi mikubwa ya PPP inataka kuwa na bongo kweli kweli.Hasa kwa nchi changa kama yetu.
Kafulila hujawa na uzoefu wenye tija to step on 1.6 billion dollar power project.
Kumbuka IPTL ilivyokausha nchi yetu.
Wajinga ndio waliwao.
 
Ppp aje aanzishe kiwanda cha nyaya tusiagize nje. Ppp ya kuweka nguzo sio. Au kiwanda cha chuma za high voltage extension . Asiguse tanesco.
 
Nani alikudanganya?

Serikali inatakiwa iwe wasimamizi tu. Kazi zinafanywa na raia, kama hawawezi na wamewzidi wizi, uvivu, uzembe na ujinga. wanapewa Raia wa kigeni wanaoweza.
Kuna miradi ya kimkakati ambayo faida sio kipaumbele. Maji umeme elimu ulinzi. Huwezi sema ppp kwenye hiyo.
 
Tunakwenda hatua kumi mbele, baadaye tunarudishwa hatua 200 nyuma. Stupid Tanzanians, mnashindwa kusimamia mali zenu?
Unategemea nini kutoka kwenye nchi ambayo 95% ya walimu wake ni failures?

Tanzanians are uneducated fools from uneducated schools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ