Wenye mikono ya birika waende Burundi.
Hata siku moja usimuamini mwanasiasa tena huyo waziri wa nishati ndio kabisa!!toka awamu ya tano matamko aliyokuwa akiyatoa juu ya kero za kuunganishiwa umeme, lakini hadi leo hakuna kitu!!je aliposema kama mtu akilipia leo umeme ndani ya siku 7, awe amepata umeme, hataki kusikia visingizio mala nguzo, waya, mita hakuna, hapo haoo atamfukuza meneja wa tanesco?!!hadi leo nini kinaendelea?tatizo vifaa hakuna, hilo ni kosa la meneja?magari na watumishi nayo ni inshu, unakuta wilaya nzima ina gari mbili tu, hapo utegemee ufanisi?cha ajabu nenda polisi huko migari kibao !!!toka wametangaza bei ya kuunganisha umeme ya 27, 000 ni wangapi wameshaunganishiwa??tatizo la nchi hii wanasiasa kuepuka lawama wanawasukumia watendaji , na ndio maana hata ukienda kushitaki kwa waziri hawezi kumfanya kitu huyo mtendaji kwani anafahamu tatizo labda ni nguzo hakuna, na ni serikali ndio inatakiwa kuzinunua, haijanunua!!Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu!
Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje wateja wamelipia gharama za kuungiwa umeme halafu TANESCO wanakuja na hoja dhaifu ya kuharibika magari zaidi ya wiki tatu!!??
Waziri nishati zinduka, unahujumiwa huku Shinyanga.
Tafadhali yumepokea taarifa kwa hatua zaidi, tafadhali tupatie namba yako ya simu tufatilie kama kuna changamoto yeyote uliyokutana nayoWakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu!
Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje wateja wamelipia gharama za kuungiwa umeme halafu TANESCO wanakuja na hoja dhaifu ya kuharibika magari zaidi ya wiki tatu!!??
Waziri nishati zinduka, unahujumiwa huku Shinyanga.
ndugu mteja, tunaomba taarifa zako ulizotumia kuomba umeme. asante
Kahama watu wanamiezi 4 toka wamelipia hawajaunganishiwa huo umeme wala sababu hazipo tanesco shinyanga ni jipuAisee hii ni hujuma kubwa sana, naomba tumwambie waziri Dr. Kalemani ahangaike na hili linamchafua
Ndugu mpendwa Mteja wetuKahama watu wanamiezi 4 toka wamelipia hawajaunganishiwa huo umeme wala sababu hazipo tanesco shinyanga ni jipu
Jina bartazari Andrea mtaa wa nyihogo tabora road kahama manispaa namba ya simu 0757474045 sijafungiwa umeme toka mwezi wa nne nimelipia mwaka 2021Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Lile swala langu mmefikia wapiNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tafadhali tutumie tenaLile swala langu mmefikia wapi
Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidiJina bartazari Andrea mtaa wa nyihogo tabora road kahama manispaa namba ya simu 0757474045 sijafungiwa umeme toka mwezi wa nne nimelipia mwaka 2021
NilitumaTafadhali tutumie tena
Tafadhali tuma tenaNilituma