TANESCO Shinyanga hawaunganishi wateja wapya kisa magari mabovu

shumanice

Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
64
Reaction score
25
Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu!

Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje wateja wamelipia gharama za kuungiwa umeme halafu TANESCO wanakuja na hoja dhaifu ya kuharibika magari zaidi ya wiki tatu!!??

Waziri nishati zinduka, unahujumiwa huku Shinyanga.
 
Hata siku moja usimuamini mwanasiasa tena huyo waziri wa nishati ndio kabisa!!toka awamu ya tano matamko aliyokuwa akiyatoa juu ya kero za kuunganishiwa umeme, lakini hadi leo hakuna kitu!!je aliposema kama mtu akilipia leo umeme ndani ya siku 7, awe amepata umeme, hataki kusikia visingizio mala nguzo, waya, mita hakuna, hapo haoo atamfukuza meneja wa tanesco?!!hadi leo nini kinaendelea?tatizo vifaa hakuna, hilo ni kosa la meneja?magari na watumishi nayo ni inshu, unakuta wilaya nzima ina gari mbili tu, hapo utegemee ufanisi?cha ajabu nenda polisi huko migari kibao !!!toka wametangaza bei ya kuunganisha umeme ya 27, 000 ni wangapi wameshaunganishiwa??tatizo la nchi hii wanasiasa kuepuka lawama wanawasukumia watendaji , na ndio maana hata ukienda kushitaki kwa waziri hawezi kumfanya kitu huyo mtendaji kwani anafahamu tatizo labda ni nguzo hakuna, na ni serikali ndio inatakiwa kuzinunua, haijanunua!!
 
Huyo waziri anawapiga sound, inaonekana kuunganishiwa umeme kwa elf 27 ni kauli ya kisiasa.....
 
Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu!

Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje wateja wamelipia gharama za kuungiwa umeme halafu TANESCO wanakuja na hoja dhaifu ya kuharibika magari zaidi ya wiki tatu!!??

Waziri nishati zinduka, unahujumiwa huku Shinyanga.
Tafadhali yumepokea taarifa kwa hatua zaidi, tafadhali tupatie namba yako ya simu tufatilie kama kuna changamoto yeyote uliyokutana nayo

TANESCO Makao Makuu
 
Aisee hii ni hujuma kubwa sana, naomba tumwambie waziri Dr. Kalemani ahangaike na hili linamchafua
Kahama watu wanamiezi 4 toka wamelipia hawajaunganishiwa huo umeme wala sababu hazipo tanesco shinyanga ni jipu
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Jina bartazari Andrea mtaa wa nyihogo tabora road kahama manispaa namba ya simu 0757474045 sijafungiwa umeme toka mwezi wa nne nimelipia mwaka 2021
 
Lile swala langu mmefikia wapi
 
Jina bartazari Andrea mtaa wa nyihogo tabora road kahama manispaa namba ya simu 0757474045 sijafungiwa umeme toka mwezi wa nne nimelipia mwaka 2021
Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
 
Back
Top Bottom