shumanice
Member
- Jul 21, 2011
- 64
- 25
Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu!
Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje wateja wamelipia gharama za kuungiwa umeme halafu TANESCO wanakuja na hoja dhaifu ya kuharibika magari zaidi ya wiki tatu!!??
Waziri nishati zinduka, unahujumiwa huku Shinyanga.