"Sinunui umeme wako, na makubaliano yamekwisha duration time ni 20yrs, imekamilika, in peace,
That mean kuna phase 2, majadiliano itabidi yafanyike, #SONGAS aombe serekali inunue miundombinu, aidha songas itumie miundombinu hiyo kwa matumizi mengine, aidha apewe kazi ya kuuza gesi daresalam na mengineyo!
Remember this is not a breach, but the end of contract signed 20yrs ago!Biashara siyo mchezo wa hasira, tukae chini tukubaliane kununua kila kitu cha SONGAS ikiwemo mategemeo ya mapato waliyotarajia SONGAS kwa zaidi ya miaka mingine 20 kuanzia 2026 yaani 2050
Plus that big thing - Implied Duties of Good Faith in Commercial Contracts :Remember this is not a breach, but the end of contract signed 20yrs ago!
Mkataba umeisha au umesitishwa?Asante shujaa wetu kwa kuanzisha ujenzi wa bwawa la Nyerere. Bila wewe kuanzisha huo mradi tungeendelea kupigwa mpaka tukomae. Sasa tunao ujasiri wa kusitisha mikataba isiyo na maslahi mapana kwa taifa. Rip JPM!
Ilani bila uthubutu wa utekelezaji ni porojo tu kama porojo zingine. Kwani wakati tunasaini mikataba ya kipigaji enzi za akina Kikwete hapakuwa na ilani? Au ilani ndiyo ilielekeza tusaini mikataba ya kijinga isiyo na maslahi kwa nchi?JPM aliyafanya haya akitimiza ilani ya CCM, mahaba yetu yanampa heshima kubwa huku tukisahau yeye alitimiza ilani ya Chama chake baada ya kukabidhiwa na kuagizwa aitimize.
Umeisha. Na kwa kuwa sasa tuna jnhpp, tuna ujasiri wa kuamua kurenew au kutokurenew!Mkataba umeisha au umesitishwa?
Hahhaha nafikiri mkataba umeisha hawakuvunjaMhhh subirini mahakamani huko uingereza
Hivi vinunu tunarithi au wanaondoka navyo?Wewe ndo umekurupuka kwani hivyo vinu vitaisha baada ya miaka 20?
Watachagua waoHivi
Hivi vinunu tunarithi au wanaondoka navyo?
Ku renew au kuto renew mkataba ni haki ya serikali, hivyo hilo si jambo linalohitaji ujasiri wowote.Umeisha. Na kwa kuwa sasa tuna jnhpp, tuna ujasiri wa kuamua kurenew au kutokurenew!
msizuge nyie semeni tu amepewa ROSTAMKUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS
ljumaa 01 Novemba, 2024
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji umeme kwa njia ya Gesi asilia ya Songas. Mkataba huu umedumu kwa muda wa miaka ishirini (20) na umefikia ukomo wake jana tarehe 31 Oktoba 2024.
Pia soma: Serikali: Mkataba wa Songas kumalizika Julai 2024
Pamoja na kufika ukomo wa mkataba huu Shirika linapenda kuwahakikisha wateja wake kuwa hali ya upatikanaji wa umeme nchini ni nzuri kwa kuzingatia vyanzo mbalimbali vya uzalishaji wa umeme ambapo kwa sasa uwezo wa uzalishaji umeme kwa kutumia mitambo ya Gesi asilia na mitambo inayotumia maji ni mkubwa kuliko mahitaji ya umeme hapa nchini.
Hali hii imechangiwa na maendeleo mazuri ya Mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere ambalo mpaka sasa jumla ya megawati 940 zimeungwa kwenye Gridi ya Taifa.
Pia soma: Ujue kwa ufupi: Mkataba wa Songas na TANESCO unaotarajiwa kufika tamati Julai 2024
Maamuzi ya Serikali kutokuendelea na mkataba huu ni kwa ajili ya kulinda maslahi mapana ya nchi. Hivyo, Serikali kupitia Wizara ya Nishati na TANESCO itaendelea kusimamia sekta ndogo ya umeme ili kuhakikisha kunakuwa na huduma bora, endelevu na ya uhakika ya umeme.
Pia soma: Hii ndio hatari inayoweza kujitokeza baada ya mkataba wa Songas kumalizika
View attachment 3141013
Kuheshimu mkataba pia ni ujasiriKu renew au kuto renew mkataba ni haki ya serikali, hivyo hilo si jambo linalohitaji ujasiri wowote.
Ungeongelea ujasiri kama serikali ingesitisha mkataba ambao haujaisha.
Sasa serikali ambayo imesubiri mpaka mkataba uishe ina ujasiri gani?
That is beside the point.Kuheshimu mkataba pia ni ujasiri
Hata BANDARI MKATABA WA T.IC.S ILIISHA,GHAFLA AKAJA MWEKEZAJI MWINGINE "DP WORLD"..maamuzi magumu, au anataka kuleta kampuni ya maswahiba zake?
..hukusikia Abduli ana kampuni ya kwenye briefcase inayojihusisha na masuala ya energy?
DuhWatachagua wao